@abdallahmsemaji: JARIBU UTAJIONEA MWENYEWY# #fyp #zanzibari #Tanzania #elimu

Abdallahmsemaji
Abdallahmsemaji
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 15:52:22 GMT
46644
2934
96
297

Music

Download

Comments

mamaajmal61
mamaajmal61 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂asnt babah
2026-09-04 19:23:09
0
mariambaaseif
mariambaaseif :
mume wangu nikirudi safari nakuta kasafisha vizuri na anapika ujue kani miss ss subiri niingie chumbani salatu
2026-09-03 20:41:10
17
sabraburhan330
Sabra :
mm narudi kutoka kwetu kujifungua mwanae mwenyewe....na nikifika nakaribishwa jiko na nguo chafu😂😂🤣🤣🤣
2026-09-04 04:42:26
22
user593238834541171
🦋❣️Niamh🩵🦋 :
niliacha vyombo ndani ya besen na tulikula usiku ule asubuh nikaondoka jmn nimerudi miezi mitatu nikavikutaaa vilevilee khaaaa
2026-09-04 18:52:54
2
teedateedaly
teedateedaly :
maneno ayooo
2026-09-04 10:24:25
0
happycollinsgmail.colins
MOM❤️ Boys 😘 :
na weka status 🤣
2026-09-04 16:50:45
5
ashuramussa86
shubaby❤️❤️ :
😂😂😂umenichekesha hapo uliposema nakujua
2026-09-04 04:56:42
2
ruqaiakhalfan
Ruqaia Khalfan :
nikwel kabs
2026-09-04 10:24:39
2
mzeemwande
mwande_57 :
mi naskiliza kwa makini najua Kuna mtego
2026-09-04 13:51:32
5
jumafaki92
jumafaki92 :
wale ambao hamufanyiwi hivi allah awajalie inshallllah
2026-09-04 10:49:51
5
ridhy.nizer
Ridhy Nizer 🤝 :
Uongo huo
2026-09-04 16:53:05
1
joyce.fred2
Joyce Fred :
uposawa kabisa
2026-09-04 16:49:46
1
zulekhat02
zulekhat :
mungu akutunze kakangu wenzio hawaelewi hayo choka mie
2026-09-04 04:17:15
7
user432970028668
massu :
mashaallah
2026-09-04 16:41:39
1
khasaa148
MARYAM🤍🌹💫 :
Leo na wanaume wanafundwa asnte kaka Allah ajalie mme wngu anyone hii😅😅😅😅😅
2026-09-04 14:51:51
1
hubbahj
Hubbah :
Una uhakika unawaongelea hawa wanaume wetu wa kiTanzania au kuna wanaokuja karne nyengine?
2026-09-04 12:13:45
4
king.taedo_zephon
King_Apollyon#Royn :
Leo nimefanya kaka akaniuliza "unaniambia nikaoge huniamini au" sasa sijui nimekosea nini😂
2026-09-04 16:03:04
1
leylaaseif1
💕🦋Ukhty lela💕🦋 :
mmmh.. muda huo hawana
2026-09-04 10:50:41
2
zalfa.othman
Zalfa Othman :
safii
2026-09-04 11:50:08
1
magakitaula
Mzemaga :
Sahihi
2026-09-03 22:26:48
3
dinhaji
dinhaji_43 :
ina mahana si lazima hivo vitu ulivo vitaja ata chakula chochote kina faa
2026-09-03 18:05:26
5
user52495966282265
Ayush :
MashaAllah.
2026-09-04 10:52:06
1
hameerhassan822
AMEEYR MUSTAFHA MAKAMBA :
tena mm napenda kudekezwa yaan mume wangu anitengee 8vyo haa subutu ntafurahisha yaan atainjoi lazima na mm nimpe furaha we
2026-09-04 13:37:50
1
mrs.d271
Mrs D❤️❤️ :
moja kwa moja kwa mme wangu😁😁
2026-09-04 03:26:01
3
agata.godfrey4
Agata Godfrey :
siku ikitokea nimelewa mume wangu akawa hivoo naenda kutoa sadaka kabisa
2026-09-04 17:48:38
3
To see more videos from user @abdallahmsemaji, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About