@bbcnewsswahili: Richard Ravalomanana, aliyekuwa Rais wa Seneti ya Madagascar na jenerali mstaafu, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 cha kazi ngumu baada ya mahakama kumkuta na hatia ya kuhusika katika mauaji. Anadaiwa kuwa alihusika katika ukandamizaji mkali wa maandamano yaliyoongozwa na vijana, ambayo yalichangia kuanguka kwa serikali ya zamani 2025. Ravalomanana alikuwa pia mshirika wa karibu wa aliyekuwa Rais wa Madagascar, Andry Rajoelin #bbcswahili #foryou #fyp #genzmadagascar #siasa
bbcnewsswahili
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 15:56:12 GMT
Music
Download
Comments
Woodwoods :
Watu 22 tu. Af kuna mtu somewhere 😭
2026-09-03 16:46:22
14
ANTONY GICHERU :
Our time is coming
2026-09-03 20:26:49
16
fox :
GOD PLZ TANZANIA PLZ
2026-09-03 16:08:04
13
:
Pambaneni mpate katiba mpya
2026-09-03 16:48:09
11
Rich jr🤑 :
wakati utafika tu
2026-09-03 17:18:38
0
Benison Innoccent :
[Sticker] Tanzania one day yes
2026-09-03 17:34:51
0
brian2002 :
ooohhh time is coming
2026-09-03 21:22:40
3
Osman Sabu :
tz🥺
2026-09-03 16:09:21
11
coleworld :
MUDA NI MWALIMU MZURI SANA.
2026-09-03 16:56:05
10
chicago data :
kwan huyu ameona
2026-09-03 18:20:07
9
Justivo29 :
Unasubiri Samia kuwa accountable
2026-09-03 16:49:57
2
失明的父親 / 盲人父親 :
malawi
2026-09-03 16:01:38
2
fasha the great :
hii ifike na TZ mbona inachelewaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-03 16:45:52
4
dm_weldwork+255 :
Okay ngoja tuone
2026-09-03 21:34:05
2
D :
Sisi kwetu wamekufa watu kibao madam president hana hata time ya uwajibikaji hajakamatwa hata mtu mmoja
2026-09-04 02:02:14
2
madiba :
watu 22=kifungo cha miaka10
je watu 2000 had 3000=na kifungo cha miaka mingap?.Mungu tenda tuone kifungo cha hesabu hiyo
2026-09-03 20:12:53
4
wokovu wa kweli :
bado tanzania
2026-09-03 17:38:29
5
Eden Herbal :
Bado malawi
2026-09-03 19:01:09
1
shukuru ak 47 :
baba tunaomba baraka hizi zishuke bongo
2026-09-03 19:06:19
1
kariakoo super shopping :
22 tu kafungwa?
2026-09-03 17:00:27
1
Bëkã🐓 :
Je uku kwetu malawi???
2026-09-04 07:24:01
0
Dorin mnywiga :
kwani kesi ya wauaji watanzania wanahukumiwa lini nawo wafungwe😭😭😭😭😭💔
2026-09-04 06:28:29
0
🔥VIATU_og👞✅ :
bado samia
2026-09-04 06:00:29
0
Grace raph :
mungu anachelewa kwetu jaman
2026-09-04 07:04:59
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.