@momyqu5: #tiktok #trending #tanzaniantiktok🇹🇿

Lizzy ❤️
Lizzy ❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 16:01:13 GMT
175665
6762
376
281

Music

Download

Comments

mama.g0178
mama G🥰 :
Bulb ulikumbuka kweli mwenetu 😂😂mambo yangu kabisa hayo
2026-09-03 18:14:30
509
martha_happy76
Martha H😋 :
uroho ndo unawaponzaga wakishaona umepatengeneza biashara inaenda vizur wanaanza kupandsha kod
2026-09-03 18:52:07
691
afficialycheupe
afficialycheupe :
Iliwai nitoe kigamboni nimeweka pesa angu kibao nikapandishiwa kodi fasta hawakuamini macho yao siku niliotoa kile nilichoweka kulibaki kama gofu wakanipeleka serikali za mtaa 😂
2026-09-04 07:21:09
125
__ms.crush
𝐌𝐫𝐬 𝐤𝐢𝐧𝐠🫀 :
Mimi nililipia frame miezi 6 nikaikarabati alivyoona imependeza akasema wanae wamemkataza asipangishe 😂 aiseee niliondoka mbaka na waya za taa 🙌
2026-09-04 11:49:53
138
lovelymontana38
Lovely Montana :
Challenge accepted ngoja nalipa na hii😅😅😅😅
2026-09-04 08:17:44
44
twevestore02
MaryCollection :
ilinikutaga 2024 bwana mweny nyumba kanitoa akafungua yy hadi sasa kafunga hana biashara na mm nilipata pale pale upande wa pili biashara imewaka kuliko kweny frem yake .sometimes ni mungu anaamua akupandishe viwango.
2026-09-04 07:15:46
99
rahmabakari952
Rahma Bakari :
mi nilipataga fremu ilifungwa miaka mi3 yani nilivyolipia usafi vumbi niliumwa mwezi mzima nikafungua salon palivyoanza kuchangamka mwenyewe si akanifukuza akafungua yeye salon kakaa hata mwaka hajamaliza kafunga tena
2026-09-03 21:41:39
83
canyiiiii
Ms natty🇷🇼 :
Mnawezaje kuboresha mahar bira makubariano ya kulipNa yaan for freee😂😂 mi siwez jmn
2026-09-04 08:37:52
33
rechomtivike
Recho Mtivike :
nikikumbuka nilifuamua Hadi nyaya za umeme 😂😂
2026-09-04 10:44:00
5
jennydavidy
jennydavidy :
😂😂😂😂😂😂 Yanakeraaaa manina limoja uku dodoma Nzuguni mnaran nimekaa mwaka,mwaka wa pili nikafunga ila kodi nalipa ila nmelud nikoboresh tent pelving nk pakanoga oyaa awooooo wateja sasa kikaanza oooh kodi imeongezeka mara waleci wanakerere mara tenti linaziba biashara mara uhame nikasema fresh siku nmemaliza kuhamisha vitu nasubili kod iishe nikatoe peving zang natuma vijana et hazitoki hadi alipe 30 yang ya batiki nikapigiwa sm muachieni ondokeni eti akatikana matuni oyaaaa nilienda kabla gari sijaweka p nililuka nikachukua nondo nilibomoa kila kitu mchanga nikalushia barabarani kama kifusi
2026-09-03 22:41:00
32
fahyma72
RK Fashion and accessories 🥰 :
😂Umeweza 🙌🔥
2026-09-03 18:08:34
6
maryamgerion
Maryam Gerion39 :
Mimi nimepandisha kozi 5 tofali nimeskim wiring mpya almost milion 3 kapandisha kodi laki na nusu hadi laki 3 sasa asubiri kiondoka kwa Tofali zangu November ndugu zangu watanitoa polisi
2026-09-04 17:53:30
8
mamkenda.collection
Mamkenda Collection Tz :
me ndio mana sifanyagi matengenezo yatayoniumiza kwenye majumba ya watu
2026-09-04 04:48:51
19
nyser11
Nyser11 :
Naomba mungu aku bariki wewe unae soma iyi comenti amen 🙏
2026-09-05 14:50:44
10
mumur_sweet_cakes
MUMUR SWEET CAKES :
Mi wangu kanambia tar 5 Kesh kutw niondoke😂😂😂
2026-09-04 06:00:34
11
latteiyasaidy
Latteiya Saidy :
Safi sana, wakishaona umepapendezesha ndo wanataka mtu ahame ili wapangishe tena kwa bei ya juu.. umekomeshaje mamy 😂😂
2026-09-03 21:33:27
21
user23109971429888
Martha chimosa :
kwel umewaweza🤣🤣
2026-09-03 16:08:19
22
callmebimbo1
IT'S BIMBO_OKAFOR💜🌸 :
iyo dawa tamu sana 😂
2026-09-04 03:40:54
6
dadee1209
Deemakeup👌 :
naomba uniwakilishe vizuri huko rangi usiiache salam
2026-09-04 05:59:49
12
nataliastilly2
momy Natasha💓💞 :
😂😂😂ujaniiitaa mbonaa bintiii mm ningeondoka na mageti
2026-09-03 18:24:52
17
user1251512540505
𝙙𝙖 𝙙𝙚𝙚🥰 :
Safiiiiii sana mijitu mingine ina roho dhaifu sana
2026-09-04 05:30:46
9
sasha.makeup41
Sasha makeup💄 :
Nmependa hyo😂😂
2026-09-03 18:22:15
8
To see more videos from user @momyqu5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About