@jimmyfreedomfight: #creatorsearchinsights "Unawapa wananchi onyo kuhusu maandamano,Je na wao wakikupa onyo" #freetundulissu, #katibampyanisasa,
jimmy classicy Chadema
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 16:04:29 GMT
Music
Download
Comments
@katunzi :
sawwwww
2026-09-06 08:01:28
0
Little Thomas :
we jamaa upo wap
2026-09-04 17:54:33
0
Tony thedon :
alienda wapi huyu jamaa
2026-09-03 18:22:06
9
Enock :
ivi huyu baada ya uchaguzi alienda wapi
2026-09-06 12:46:42
0
stvini josseph :
awaporisi niwa ccm wote tumebki na jwtz
😳😳😳
2026-09-03 16:14:44
4
Suleiman Ali :
jina tafadhali
2026-09-03 21:51:07
3
CHEED BOY :
jamani natafuta kazi ya kuendesha gari za familia binafisi nipo kigoma ninauzoefu wa miaka mitano kazini
2026-09-05 15:22:18
1
Nicholas :
ushaenda wap
2026-09-04 17:00:12
3
Elizabeth Moleli :
hawajiamini na ndiyo maana kila kona onyo
2026-09-04 01:46:38
4
francis :
umesema kwema
2026-09-04 10:27:18
2
nelson mapambano 2000 :
useme uliongea point
2026-09-04 21:40:05
1
user17719832069237 :
hy mwamba yp wp
2026-09-05 20:19:08
0
saidihamisi38 :
huko sawa sana
2026-09-03 20:41:46
3
Bakari kiaranga :
hongel ubalikiwe san naamin mungu atatend
2026-09-06 04:06:56
0
user6216655336139 :
mungu anawatu wengi bhana wewe ukiringa anainua wengine sarut kamanda
2026-09-03 20:49:48
3
Anna Business Woman :
du watakuacha kweli mungu akusimamie kiongozi
2026-09-04 05:59:04
2
David saoke Decoration master :
live sema baba😅😅😅
2026-09-05 21:17:56
0
Olariv Barnabas :
wazaleondo wapo et nikwamba basi mungu akulinde
2026-09-03 20:37:01
2
Bin Ahmed :
huyu nae ni nani watampa kesi ya uhaini
2026-09-04 07:17:33
4
soja mhehe 🙏🙏 :
🤣
2026-09-04 16:33:29
1
Richard yona jaji :
Hamna kitu hapo,
2026-09-05 08:08:58
0
Rose Myovela :
saruti mtu wa MUNGU
2026-09-05 11:39:03
0
Damas Sanga :
ongeza sauti baba🤣🤣🤣
2026-09-05 08:59:30
0
shateendile :
100%
2026-09-05 08:44:22
0
vunja bei :
ooooooooooooh
2026-09-04 13:27:45
1
To see more videos from user @jimmyfreedomfight, please go to the Tikwm
homepage.