@0fficialmam08: #funny #funnymemes

Official Mamu🇺🇲🇹🇿
Official Mamu🇺🇲🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 16:14:45 GMT
20475
782
81
79

Music

Download

Comments

christinah5727
Christinah❤️ :
watu weweeeeeeeeeeeeee🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 19:20:07
0
apendekillemy
Apendeki🤣😇🤡🤪 :
mbinu yakivita nishapata bado vita yenyewe sasa🤣🤣🤣
2026-09-03 16:56:14
17
dolphindolphin101
dolphindolphin175 :
Amna ungesave namba ya wazazi wake wawe amina na zulfa alafu zulfa na amina wawe wazazi 😂😂😂 hiyo kesi hata polisi haingilii😂
2026-09-03 17:21:20
13
happynescharles
Ma T :
unaakili sana umenifundisha cku akija hakiamungu hataamini 😁😁😁
2026-09-03 17:36:43
3
queen.beth769
Queen Beth :
nataman nikupe like hata 100
2026-09-04 00:18:23
1
babefetty1
fetty_kisura❤️‍🔥🩵 :
mie ningebadilisha namba moja ningesave mama ya mama ake naweka ya mchepuko😂😂
2026-09-03 17:51:42
2
florah531
florah :
Yan no ya Amina ungesave jina la wazazi wake then no ya zulfa ungesave no ya boss wake uandike zulfa
2026-09-03 18:52:20
3
user1803155051381
MAM SHUU&HUU :
mim wangu hasevu namba za michepuko zake anazisave bila majina na ni kiwanda cha madem. maana kila namba ukiichukua ukijaribu kupiga ambayo haijaseviwa ni sauti ya kike tena sauti mlegezo. niliachaga kushika sim yake maana nilikuwa najikuta ninahasira mda wote nikimuona hivi nakasirika ghafla. ila saizi ninaamani ya moyo kwanza nimenenepa.
2026-09-03 19:30:58
1
user48496171216116
Meshack emmanuel :
walahi sipigan tena vitayangu wanaenda kuimaliza wenyewe
2026-09-03 17:54:44
3
lizabet434
Libby,🪻Mrskelby/voke🪎 :
2026-09-03 16:46:05
0
user2619776590328
faudhia :
kabisaaa🤣
2026-09-03 18:50:12
1
gracejohn7308
Jipende mwenyewe :
nimeipenda hiyo my dear 🥰🥰🥰🥰
2026-09-03 19:00:55
1
rechojohnp
Recho John p :
nimeipenda
2026-09-03 18:43:23
1
mwanahamisimoham248
Mwanahamisi Mohamed :
Daah😂😂😂
2026-09-03 17:25:04
1
tunsu57
Tunsuerick57 :
😂😂😂 jamaanii mbavu zangu mie , nakupenda kipenz
2026-09-03 16:19:24
2
ever.mtalilwa
Ever Mtalilwa :
🤣🤣🤣😄sanaaa tumpunguzie mungu majukumu mengine tujiongeze
2026-09-03 18:52:27
1
happy.joakm
happy joakm :
komesha🤣🤣
2026-09-03 21:01:22
0
official_rose237
my name is Victory 🙌 :
nimeipenda kweliiii yaan hii😂😂😂😂
2026-09-03 20:12:48
0
christinamkula
christinamkula :
we kiboko
2026-09-03 20:06:52
0
moureen.evance
Da momoh💫💚 :
hii nayo tunaijua malast born😂😂
2026-09-03 21:12:07
0
To see more videos from user @0fficialmam08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About