@islamicreligion914: MTIHANI WALLAH😭😭 ALLAH ATUJAALIE MWISHO MWEMA 🤲🤲🤲

abby sobhi🥰
abby sobhi🥰
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 16:44:39 GMT
12782
2056
198
127

Music

Download

Comments

landscape_architect1402
landscape architect 🙃 :
Quran bhn hatakam unaijuaa ukiisoma IPO siku utakutana na ayaah ambayo unaijuaa lkn hiyo siku utaion mpyaaa utapata fundisho jipyaa Yan sijui kwnn wallah
2026-09-04 02:52:13
46
tema550780
Tema :
Allah atujalie mwixho mwema inshallah 😭😭😭😭
2026-09-05 12:37:47
5
mozakhalfan0
mo beauty💕 :
Siku ya Kiyama, Mwenyezi Mungu (Allah) atatuuliza: Je, ulimwalika yeyote kwenye Uislamu? Huu ndio mwaliko wangu. Yeyote anayesoma ujumbe huu kwa macho yake, awe shahidi wangu. Daima jitahidini kuwa bora zaidi. Salini kwa wakati. Tubuni kwa Mwenyezi Mungu. Someni Qur'an. Msiwahukumu wengine. Fuateni mafundisho ya Uislamu. Daima mrejeeni Allah, haijalishi mmeenda mbali kiasi gani katika makosa. Msiruhusu dunia iwalemee. Mwenyezi Mungu (SWT) atusamehe dhambi zetu, aturehemu, na awajaalie Waislamu wote (Ummah) kuingia Peponi (Jannah). Aamiin."
2026-09-04 08:04:06
28
mohamedmbwana255
Mohamed Mbwana :
Allahumma nsur ummat Muhammad
2026-09-03 20:46:04
15
princemuuh_7
Muuh_7 :
May Allah forgive our sins insha'Allah
2026-09-04 08:35:30
5
user23538486134212
Olive :
Jazaka-Llahu kheyran kathiran for the Beautiful Reminder Alhamduli-Llah
2026-09-05 14:52:46
1
fmingo4
SAFFRON :
Subhanallahu Allah atusalim salama
2026-09-04 04:48:41
3
user5453650263946
user5453650263946 :
Allah tujalie mwisho mwema inshaallah
2026-09-03 20:14:09
2
hemed_abdallah3
HEMED @NTV :
Hiyo aya ni nzito brother 😎
2026-09-03 21:18:07
1
chabialonso637
Chabi Alonso :
duh ww mja Allah akupe umr wenye swiha
2026-09-07 04:03:15
2
ibrahimtsaka
Ibrahim Tsaka :
Wallahi Allah atufanyie wepesi
2026-09-04 05:24:40
2
yusufmatwani
Yusufumatwani :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-04 07:43:19
1
safaom2
Miradi ya Allah :
Kila siku nasisitiza watu wasome Quran ili wajue tafsiri wapate kuizingatia
2026-09-05 11:54:00
1
abdi.ayoub.mohra
Abdi Ayoub Mohra :
ALLAH Akulipe Al akhy.
2026-09-07 06:43:49
1
user4271332961275
user4271332961275 :
shukran mola akulipe ujira wako kwa ukumbusho
2026-09-04 09:49:05
1
manyessa1234
manyessa wisdom show :
SUBHANALLAH
2026-09-04 06:39:57
2
nassir.nuri6
Nassir Nuri :
hapo pazito🤲 Allah atupe mwisho mwema🤲🤲🤲🤲🤲🥰🥰🥰
2026-09-05 19:11:30
2
mk126503
Mk12 :
Subhanallah
2026-09-04 07:05:55
1
adidja.hassan4
Adidja Hassan :
Allahuakbar
2026-09-03 22:59:52
0
tunukiwa.kimwagil
Turkiya :
naomba unifundishe na mimi Qur'ani sitanii namaanisha
2026-09-05 21:40:33
2
naithar.al.qassmy
Naithar AL Qassmy :
Allah Atujalie mwisho mwema 🙏
2026-09-04 10:08:38
1
fii5760
fii :
Subhanallah ni siku nzito sana kwetu🥲🥲🥲🥲🥲🤦🏻🤦🏻allahuma jaana bighusnil khatima🤲🏻🤲🏻🤲🏻
2026-09-03 17:05:19
4
binsaed3
Bin_Saed :
2026-09-03 22:21:45
0
masemo.ameri
Masemo Ameri :
Maashallah asante sana father , mola atupe wepesi inshaallah .
2026-09-04 11:33:10
1
ummu.mohamed876
Ummu Mohamed :
shukran
2026-09-03 21:34:43
0
To see more videos from user @islamicreligion914, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About