@morogoromastory: Replying to @c0478423

morogoromastory
morogoromastory
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 16:53:39 GMT
179519
6965
375
732

Music

Download

Comments

sasha.gm3
my love sashaaa :
Wanawake sisi niwanafikii ila me hapana
2026-09-03 17:47:12
207
user34739952613431
Nasma❤️🌹 :
wanawake sisi ni waigizaji wazuri sanaa 🤣🤣
2026-09-04 09:01:42
25
abdullakhamis5
Abdulla Khamis :
Jamani mnaotupa foil za chips barabarani punguzeni pilipili😳
2026-09-04 05:08:10
72
rodawilson459
Rhoida :
Bora nimefanikiwa kuhama TANZANIA saiv npo KENYA.
2026-09-03 18:35:00
36
walikuku2
walinazii logistics :
leooo nimejifunzaaaa kitu kwaiyo staki kujitutumua Kila mtu ana wazaziiii😂😂
2026-09-04 04:34:38
35
sister.p__
pili :
nimecheka mpaka kinena kimenicheza 🤣
2026-09-04 07:29:06
8
telesia709
Telesia :
uyo dada anajikaz ila anaumia kwa sababu
2026-09-03 19:08:17
38
mamumngoni
MAMUREY💦♥️ :
Bora nipo mbeya Sipo tena Tanzania 😂
2026-09-03 18:39:35
24
mamagswax
Vyombo vya kishua swax :
nimecheka sana jaman msitufanyie ivyo bas😂😂😂😂
2026-09-03 18:18:15
24
tifahchaula95
tifahchaula95 :
mbona mwanzo ukusema uje useme saiv
2026-09-03 18:00:19
16
bossredyt
💫boss redy ❤️Tz one🇹🇿 :
Mi nampend chanuo ata avokua analilia Gari alikua analilia kinafki 😂😂❤️
2026-09-04 11:35:31
9
nyotad0
Nyota D :
mmmmmhhh
2026-09-04 11:34:46
1
mafuta.dodoma.aliz
MODERN VIEW SUNFLOWER OIL.DOM :
hiiiiiiiii Ahaaaaa
2026-09-04 11:41:23
1
user1757347975519
@ianjay20... :
jmn comments zenu ziwe zakuchekesha zaidi wengne tunategemea comments tucheke
2026-09-04 14:26:20
5
user172836295996
ilham twaha :
namuomba mungu niwe na moyo huu nisiwe na roho ya kumdhalilisha mwanaume tunapoachana
2026-09-04 08:38:20
7
mwamvita158
mwamvita :
mmmmmm kumekucha
2026-09-04 12:39:58
1
yakuti.huseni
Yakuti Huseni :
mwizi atari sana
2026-09-04 04:15:13
2
user90071035114672
selelitechnician :
nashindwa kuelewa
2026-09-03 19:18:02
4
alex.xizzoi
alex xizzoI@ :
tuachen na tanzania yetu tuna tamba tyuu na mam tunae anae mchukia ahame kuongoz binadam so kaz rshis🥰🥰🥰
2026-09-03 19:19:30
7
gugasteveshigella
Guga Steve Shigella :
hili chanuo ni zuri kama hujawahi kulichania ila ukilichania utajikuta nywele zote zinapukutika kichwanii ni bora kusokota dreads!!
2026-09-04 13:05:14
6
jimmy_trainer_iringa
JIMMY -TRAINER -IRINGA :
hahaha
2026-09-04 10:30:34
1
khuremsultana
Khurem sultana👑 :
😅😅hata kilio hakikua cha ukweli
2026-09-04 13:59:49
4
salummuya686
farmer OG :
Usiamini machozi yao hata siku moja.....
2026-09-04 13:42:03
4
yuctymusty1
yucty musty :
hiini maajabu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-04 11:33:53
1
user3982404032158
user3982404032158 :
🤣🤣🤣 duuh
2026-09-04 07:40:49
1
To see more videos from user @morogoromastory, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About