jmn Dunia inawasahaulisha...mwacheni mtt asome akikua atajiamulia lkn now wazazi wanaona cfa wtt wanapojichanganya na mitandao kwass uwezi jua madhara ya baadae lk kla akikua ndo utajua husda za kibinaadam kwa wtt wetu ni nyingi jmn ila c kwa ubaya
2026-09-05 15:59:11
8
Catherine Amos :
mhhhhhhhh🤣🤣🤣🤣
2026-09-04 15:37:05
0
rosekidot :
uyu mtoto muwe munampumzisha jamn mm naogopa na mitandao hiiii binadamu sio watu jaman wapo wanaompenda wapo wasio mpenda