@gwajimafans: Hakuna cha El-nino, mabaya hayataipata Tanzania - Bishop Dr. Josephat Gwajima #gwajima #bishopgwajima #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 @GWAJIMANIZATION
gwajimafans
Region: AL
Thursday 03 September 2026 17:04:36 GMT
Music
Download
Comments
lizy :
Amina mabaya hayatanipata kwa jina la Yesu
2026-09-03 18:23:50
166
Maryam Ahmed :
El Nino haitatupata watanzania wote
2026-09-03 18:40:53
56
WISDOM :
Kwa ajili ya mwenye haki mmoja inatosha kabisa Mungu kuokoa taifa
2026-09-03 20:55:06
70
E.A×2 :
Mtumishi unaroho ngumu kiroho na kimwili
2026-09-03 18:42:20
62
Ivarin beauty saloon :
Amina nimepokea maana nimeisha kuwa na was was
2026-09-03 18:28:57
58
Emmanuel Mohameddy ally :
kIONGOZI,WAKWANZA,WA,DINI,KUKEMEA,HOFU,HIYO,BRKW,SANA.
2026-09-04 05:12:30
34
@kinalo :
Amina in Jesus name
2026-09-04 15:34:13
2
@hillcute1 :
Amina kwa Jina la YESU Mimi na familia Yangu MUNGU atutie muhuri.
2026-09-04 10:58:08
15
Working Hood! :
so proud of you,in Jesus name
2026-09-03 18:05:17
6
Fey Hazard :
napokea kwa jina la yesu
2026-09-03 18:38:54
19
cute 🥰 Teddy :
Amina hallelujah Adonai
2026-09-05 12:40:31
1
Rechor Mwamed :
naunga na mtumishi kukemea
tunashinda kwa jina la yesu
2026-09-04 05:41:37
10
Allen Ndosi :
glory to god
2026-09-03 18:56:08
7
Jesca Ally :
Ila mm nampenda sana Gwajima🥰🥰🥰😁😁😁
2026-09-04 07:42:25
14
mazombi :
ameni mabaya hayatanipata mm na familia yangu
2026-09-03 18:39:42
6
zilli boy :
barikiwa sana mjori wa Mungu
2026-09-03 18:52:13
9
CARREN puite :
amen napokea kwa jina la yesu
2026-09-04 08:39:54
6
E LLY PAUL :
amen sana baba
2026-09-03 18:44:59
6
visse♥️🇹🇿 :
amina baba
2026-09-03 17:15:05
7
Angelina Charles :
amen imeshindwa
2026-09-04 08:47:38
8
aminata miyamba 10 :
amen amen haya ndio natama kuyasikia
2026-09-03 18:10:48
13
suzy💕 :
amina jesusi la mbinguni
2026-09-03 17:09:33
5
JY :
Safi safi safi haya ndo maneno yanapaswa kutamkwa El nin ipo tunajua lakini Bwana atatulinda na mabaya yote
2026-09-03 18:01:36
10
Mummy :
Ameen.. tutakuwa salama kwa jina la YESU 🙏🙏🙏
2026-09-03 18:09:40
6
denisisrael118 :
Amina
2026-09-03 19:07:50
2
To see more videos from user @gwajimafans, please go to the Tikwm
homepage.