shekh sema kihaki lillah mungu anakuona wagonjwa ni wengi nipe muongozo
2026-09-04 08:07:17
2
Beatrice Asega :
naitaji
2026-09-04 08:11:35
0
Tujaalie mwisho mwema :
A alkm...mbona ujibu maswali ukiulizwa?
2026-09-04 12:32:38
0
Zainab Shabani :
tafadhali naomba namba Yako nipo uqanda
2026-09-04 11:40:25
0
Mama ake rey :
vipi kuhusu moyo mkubwa sheikh unatibu??
2026-09-03 17:46:08
0
Aisha Rajabu :
tupe namba bs
2026-09-04 03:30:45
0
balo :
vipi kuhusu sukari, inapona kabisa?
2026-09-03 20:58:33
0
karistomwamkinga :
uko wapi
2026-09-03 17:46:44
0
casma202 :
uko wp
2026-09-03 17:26:15
0
sam boy :
tutakupataje bila namba ya mawasiliano
2026-09-04 03:46:17
0
Ally Dunha :
Tuma no.yako.
2026-09-04 18:38:45
0
Sina Kondo :
tukifika zega tuulize kwa nani
2026-09-04 03:18:03
0
Said Abdallah :
Tuwe wakweli kwa Mungu.Mishipa midogo inayochuja damu ikisha haribika hakuna dawa.Tulinde figo
Tunywe maji yakutosha,Tuache kutumia mitishamba bila vipimo sahihi,tuache pombe.Usingizizuri,Tucontrol kisukari na pressure
2026-09-04 19:14:28
0
Anna Saidi :
naomba namba yako
2026-09-04 18:11:20
0
ommy :
Amina
2026-09-04 11:31:28
0
King :
Namba zakoo tafadhali
2026-09-04 13:32:53
0
user8016527494254 :
vipi kuhusu kansa shehe plz 🙏🙏
2026-09-04 19:40:54
0
msemo :
naomba no yko
2026-09-04 07:12:32
0
mosedo :
nina maumiviu upande waxmkono wa kulia pia choo kina harufu sana
2026-09-04 17:13:12
1
Kashaogy :
tunaomba namba ya simu ya mtaalam
2026-09-04 16:04:11
0
yak114 :
mungu anakuona dah
2026-09-04 15:01:04
0
mejuma :
pesa ngapi
2026-09-04 19:06:44
0
lesou :
pesa gapi hio dawa
2026-09-03 17:25:37
0
To see more videos from user @elimuyamazingira, please go to the Tikwm
homepage.