@kanikibrown: Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga, amesema anaendelea kufanya mashauriano na wanasheria pamoja na watu wengine wanaopinga vitendo vya ukatili, kwa lengo la kutafuta namna bora ya kurekebisha sheria. Maganga amesema miongoni mwa mambo wanayolenga kuyafanyia kazi ni kuhakikisha sheria zinakuwa na masharti yanayoweka wazi hatua zinazopaswa kuchukuliwa dhidi ya watu wanaohusishwa na vitendo vinavyokiuka maadili au sheria. Amesema, katika mazingira ambayo mtu anaweza kuhukumiwa adhabu kali kutokana na tuhuma zinazomkabili, ni muhimu pia kuweka utaratibu unaolinda haki za watu wengine, akiwemo mwajiri anayehusishwa na tuhuma hizo. 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia