@dukahuru:

Dukahuru
Dukahuru
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 17:25:22 GMT
128543
5882
198
359

Music

Download

Comments

cut.isabella
cut Isabella :
tatzo tunaoweka kusimamia wanatufelisha japokuwa ni ndugu,yaani mpaka sasa nmeshakata tamaa
2026-09-03 19:21:27
82
kelvin_mveti
kelvin_Mveti :
Kwenye chips apo 👍
2026-09-03 19:21:51
22
deedeekipotabo
Miss deedee🌺 :
Me napenda uwakala ila sijui nianzie wapi kwenye line
2026-09-03 20:25:26
23
user6143651306281
janelle :
niliajiriwa nikafanya biashara ndani ya mwaka na nusu boss siku anakuja kuja kushtuka ananifukuza Nina more than 25M nilisepa kibabe sanaa😆😆😆
2026-09-03 19:30:29
35
mickymziwanda
mickymziwanda :
Banda la mpira unafungua tu weekend
2026-09-03 18:57:46
17
catherine.pm0
Catherine PM :
mm nasubili comments za watu maana ni kitu kinacho niumiza akili
2026-09-03 18:38:41
14
paulinecollection1
Pauline mlelwa :
boda nitaizungumzia kwa kuwapa boda mkataba ila sasa hii haihitaji mtaji mdogo niko na ushuhuda mtu kaanza na moja huu mwaka na lengo lake 4 ashanunua mbili.ziko na maderva wanafanya kazi
2026-09-04 08:52:54
12
ungova.co
Lily Kombe :
saloon ya kike na kiume unaweka kila kitu then unaweka msimamizi na camera kibao😊
2026-09-04 05:14:54
12
dativavalentine
Dativa Valentine :
Biashara Nyingine ni Kukodisha Viti, Matent
2026-09-06 19:39:49
10
palangyograce
palangyograce :
grocery je?
2026-09-04 13:22:23
4
user77477682453955
Mama A store :
kuuza nguo za ndani
2026-09-04 09:30:42
7
miss_independent22
Mwanaa msuya :
Naomba mnurudishe hapa please
2026-09-04 01:17:09
16
darline3452
Darline :
Mazao
2026-09-04 20:17:10
3
miss.jack47
jackie💕💞 :
mbaka nimeku follow ili nipate madini zaidi
2026-09-04 11:36:20
6
elitzfx
EliTzFx🧢 :
mimi nafanya forex trading😀, natoka kazini saa tisa, naingia kwenye laptop yangu.
2026-09-07 13:19:26
4
user8008354491027
Dekcia :
Mazao kuyakusanya wikendi
2026-09-06 01:55:16
3
talalabdula8
talalabdula8 :
zungumzia mama wa nyumbani pia tufanyeje
2026-09-06 15:04:04
0
ms..saada
Ms. Saada💕 :
Kwan hii kitu ya kuwekeza kwenye mazao eg . Viungo , Mpunga etc
2026-09-03 18:57:28
7
jackiema16
JackieMa :
Kibanda chips saangap ?? Jmn
2026-09-04 18:31:18
1
elishaabel03
elishaabel962 :
saloon nizuri ila upate kijanaanae jielewa
2026-09-04 06:41:54
4
dimplesbabyazzy
dimplesbabyazzy🩺 :
kilimo and ufugaji
2026-09-05 18:11:48
4
rajabmnyimwa
ramadhani maramsha :
aisee mm nilianza biashara ya bodaboda moja sasa hivi zipo 80 natamani kuacha kazi
2026-10-01 16:15:37
1
alishas_sweets_tz
alishas_sweets🇹🇿 :
Biashara ya chips nawezaje fanya partnership?
2026-09-05 12:28:17
3
mikebayda
mikebayda :
saloon
2026-09-03 20:59:49
1
geofreynkwamba15
Geof master :
kaka pesa iheshimiwe so Kila mtu au Kila sehem unaweza-eka pesa zako
2026-09-08 14:58:17
1
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About