@wepesitv: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara pamoja na Timu yake kuhakikisha bei ya saruji inashuka kama ilivyokuwa awali ili Watanzania waendelee na shughuli za kukuza uchumi wao. Akizungumza Jijini Dar es salaam, Ndejembi amesema “Serikali hii ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia maelekezo yake, inataka kuona Mtanzania anapata mfuko wa saruji kwa gharama nafuu. “Kwa hiyo, niwatake Waziri wa Viwanda na Biashara pamoja na timu yako, malizeni hili jambo ili Mtanzania wa kawaida apate bei ya saruji kama ilivyokuwa hapo awali, kwa kuhakikisha uzalishaji unaratibiwa na kusawazishwa,”

WEPESI TV
WEPESI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 17:26:15 GMT
93642
4491
218
167

Music

Download

Comments

leonard.jackson54
leonardjackson13 :
kwtu elufu 30000
2026-09-04 20:53:22
0
gorgeousnasra56
Gorgeous nisa :
Ccm oyeee so proud of u our shoolmate mhe deo
2026-09-04 13:12:11
2
fabianiyanga9gmail.comi4
[email protected] :
saiv cement ina 30000
2026-09-04 06:42:27
0
user735042908455
mwanyengo :
waoooo🙏
2026-09-03 20:42:50
0
mamrej6
user7342204772568 :
naona kabsa nnavoenda kumalzia nyumba yangu😁😁
2026-09-03 19:33:29
13
frank.temba1
Frank Temba :
lakini utaongea yanaishia hapo hapo
2026-09-03 19:17:04
19
user6127000481540
user6127000481540 :
Ishuke mpaka eLfu kumi
2026-09-03 18:39:42
9
tykarume
user37881092045302 :
hongera
2026-09-04 06:35:06
0
nangetia.namshitu
nangetia namshitu :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰kula kopa
2026-09-04 18:36:43
3
user8366793351172
user8366793351172 :
kidogo tunaanz kukuelew kaka
2026-09-04 19:01:54
1
rasa_bway
Rider 007 :
usisahau na mafuta pia yauzwee kama apoo hawal
2026-09-03 19:47:13
3
livinusrwehumbiza
Livin :
cement ishuke genz na sisi tujenge vibanda vyetu😅
2026-09-04 19:03:29
1
damasi96
Damac Eliud :
huku tunanunua cement mfuko mmoja 24000
2026-09-04 18:37:18
1
vertucy
Vertucy Enrique :
Kama kweli hivi munavyozungumza kwenye majukwaa, ndo kwaaanza vitu vinapanda bei tu😔
2026-09-04 05:50:22
6
official.mtu.wa.mu
Official Mtu wa Mungu :
Safi sana baba,watu tumesitisha kujenga sababu Matirio yamekuwa ni ya Moto sana.
2026-09-04 10:57:52
5
amani.mwalusamba
Amani Mwalusamba Amani Mwalusa :
izo siasa mnaongea apo uku mambo ni yaleyale
2026-09-03 20:46:55
6
halima.tizi
halima tizi :
Sasa ndo viongozi tunao wataka kama hawa
2026-09-03 18:56:46
6
user3016815014605
Noel bakola :
piga kazi kaka una baya chili amonga
2026-09-03 19:44:45
6
shehu.aniceth
Shehu Aniceth :
mungu ametuona Kwa kutuletea huyu
2026-09-04 11:44:28
1
kalibug66simon
𝚄𝚔𝚒𝚖𝚊𝚕𝚒𝚣𝚊 𝙱𝚊𝚜 :
𝚞𝚖𝚎𝚝𝚞𝚐𝚞𝚜𝚊 𝚜𝚊𝚜𝚊 𝚝𝚞𝚗𝚊𝚘𝚝𝚎𝚐𝚎𝚖𝚎𝚊 𝚔𝚞𝚓𝚎𝚗𝚐𝚊 𝚝𝚞𝚜𝚒𝚗𝚍𝚠𝚎 𝚔𝚞𝚓𝚎𝚗𝚐𝚊 𝚗𝚒 𝚜𝚜
2026-09-04 14:26:30
1
herman.kifyasi
herman kifyasi :
Mbona kama kuna mtu humuuu????
2026-09-03 19:31:53
3
mnavu.bakari
mnavubakari :
umetisha mkuu unyama sana
2026-09-04 08:47:22
2
idubula.com
Kemmy Rwechungula Francis :
Na chakula, mafuta ya kupikia.
2026-09-03 20:19:34
2
user1817398814800
wema42 :
duuh nlikuwa nimepanga nijengee tope kumbe nitajengea cement sasa😁
2026-09-04 06:32:57
4
oscar.wilibard.ka
Oscar wilibard Kambona :
sitaki kuamini bei ya siment kiwandani na bei ya mtaani yaani hakuna uwiano labisaaaa
2026-09-04 13:34:50
1
To see more videos from user @wepesitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About