@monchichi_tz: Andika kwenye comment ungependa kujifunza nini? #CapCutPro #VideoEditing #CapCutTutorial #ContentCreator #creatorsearchinsights

MONCHICHI_🇹🇿
MONCHICHI_🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 17:34:01 GMT
169666
10506
77
224

Music

Download

Comments

samkeyz255
Samkeyz_255 :
muelekeze kutumia keyframe mkuu achn na effects hana room ya kucontrol anavyotaka
2026-09-03 18:15:49
22
modestabayassellers.tz
Modestbyfathma🛍️🇦🇪🇹🇿 :
Kuunganisha clips iwe video au vlog
2026-10-06 09:49:48
0
neria_205
neria_19 :
Me ndo siwezi kuitumia kabisa naninayo kwenye simu yangu😂😂😂
2026-09-04 14:51:22
6
arnulfo.urassa
ARNULFO URASSA🇹🇿🫡 :
Kk please nisaidie huyo
2026-09-04 08:06:28
2
engbsway
Bruth StreamPro :
jinsi ya kudundisha maneno?
2026-09-25 17:02:54
0
daholly_
daholly_ :
Ucho fail ni huja mtag tu 😁😁😂
2026-09-22 18:57:04
1
window7seven
Windowseven :
kaka fanya ile maneno yawe behind the object.., Yani mfano mtu anatembea then Kuna maneno anayapita halafu Kuna sehemu ionekane maneno yapo nyuma yake
2026-09-03 19:27:11
5
de_stone.7
de_stone 7 :
juweka ukungu nyuma ya video kaka
2026-09-05 16:57:19
3
rolexdnatty7
ℜ𝔬𝔩𝔢𝔵𝔡𝔫𝔞𝔱𝔱𝔶👻 :
Camera tracking inazingua kinoma ipo kwny pro
2026-09-03 19:26:14
0
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-09-04 21:08:22
1
tonywizee
it's Tony :
@it's Tony:support pluto✊
2026-09-04 07:46:27
2
nana_beauty_natural
Nana beauty__katesh💎 :
nimewezaaaa
2026-09-04 08:23:25
2
isayadaniel_mr3
isaya daniel. :
huyo dada naomba nimfundishe kizumu ndani kwangu kuna kitu hajakielewa hapo. asante Sana capcat master Kwa kumfikishia hii ujumbe
2026-09-03 18:31:54
1
hafidhsadiki5
FizzoTz🇹🇿 :
nipe namba za huyo dada😅
2026-09-06 11:01:08
0
dizzimparts_
SPARE PARTS| LUBRICANTS| DECOR :
Mimi nimeelewa huyu Dada alichotaka ni hiki 👇
2026-09-16 09:29:20
1
mamyabdull
mamyabdull :
Tufanyie ile kma sound ya key bod inaskika sauti
2026-09-04 03:30:25
1
juvan_619
Internity_619🪐 :
me naomba nilipiwe capcut yang😂
2026-09-03 19:06:35
2
isayadaniel_mr3
isaya daniel. :
huyo dada naomba nimfundishe kizumu ndani kwangu kuna kitu hajakielewa hapo. asante Sana capcat master Kwa kumfikishia hii ujumbe
2026-09-03 18:31:54
2
kiddafany
KID DA$ :
bro najinsi yakuweka background kuwa portrait
2026-09-10 14:21:22
0
levinesky
Levinesky180 :
kuna ile una zoom in background to... ila mtu yupo stationary
2026-09-21 04:24:39
0
njunwatv
Njunwa Tv :
Namna ya kulipia capcut
2026-09-23 20:39:41
0
msmary206
Msmary🖤💘 :
ku eidit
2026-09-28 23:43:33
0
themaddy12
RÉALISATEUR MADDY :
Kusohoot
2026-09-26 22:33:49
0
gracesamwel931
JG :
elezea haraka haraka natak nilale
2026-10-05 23:11:20
0
ajmonee48
Ajmonee :
jinsi ya kuziba uso kwa ukungu for Android users
2026-09-04 09:08:52
0
To see more videos from user @monchichi_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About