@tonysalm97gmail.com: #creatorsearchinsights #kenyanboys

Tony Salm
Tony Salm
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 03 September 2026 17:34:58 GMT
39362
2281
75
208

Music

Download

Comments

user1105541834198
#Jb jÂÇób :
Watching live outer banana island,Mfalme amesimama🤣🤣🤣
2026-09-04 11:41:25
1
cut.isabella
cut Isabella :
wakenya tunaomba mtupumzishe😂😂
2026-09-04 08:24:37
14
mariamalaki621
mariamalaki621 :
unaweza toka na gar morogoro hadi Dar nyimbo haijaisha
2026-09-04 10:11:43
6
justice_kisha
@JUSTICE KISHA :
😂😂😂I love Bahati Bukuku's songs
2026-09-04 07:10:30
10
jojoo4702
jojoo :
aweeeeee tiktok ni ya kwetu sote hakuna kinachoshindikana humu😂😂
2026-09-04 08:58:14
10
swadheentaramsey.co.ke
🌹🌹🌹𝕞𝕣𝕤 𝕛𝕠𝕟𝕖𝕤🍉🍓🎀 :
spare my ribs 😅🤣
2026-09-03 20:36:05
1
elijahmusyoki
ELIJAH :
dereva anaekaga hile ya Dunia Haina huruma tunatoka nayo Nairobi Hadi mwingi
2026-09-04 11:57:47
4
shiro.m51
Shiro M :
hiyo ni show off😂😂
2026-09-04 06:09:27
3
user3084618165443
Maryam musa :
Na mm iyo nyimbo ndio ilinielewesha bibilia🤣🤣
2026-09-04 09:02:18
3
user3519521762470
Nanncy😜 :
walae ukiziskiza unaeza dhani siku hiishi😂😂😂
2026-09-04 08:33:10
5
monicah5381
lydyahnyaboke :
bukuku kutokonNrb hadi kisiii na hamani ndio beats zinacheza bukuku wonderdul song
2026-09-04 12:06:00
1
d.n.s22official
💓@Miss chocolate 💓🎸🇰🇪 :
na hata siku Moja sijawai boeka nazo Yani story inashikakushika ndani ya wimbo wenyewe
2026-09-04 07:35:02
6
emmy703061
emmy :
mko na mambo😂😂😂😁😁😁😁
2026-09-04 11:17:22
1
aminayahaya870
Amina Yahaya :
hahahahaha haya bwana ila kweli sio kwa urefu wa zile nyimbo uwiiiii mpaka unachoka kusikiliza
2026-09-04 11:45:52
0
user5163961623673
milguy :
ilaaaa jaman
2026-09-04 09:47:36
2
tafutatufanane
tafutatufanane :
na si mnajua lyrics za bahati Bukuku 😂😂😂
2026-09-04 12:01:19
1
lavabwoy.dangote
Lavabwoy Dangote :
nilijaribu kudownload album mzima yake 256gb yangu ikasema storage full😂
2026-09-04 12:38:38
0
martiningari
Martinis :
alafu ikimaliza bado uwa Ina count hadi 5 mim🤣
2026-09-04 11:54:14
0
lilrayan12
lilian🥰💫 :
mm naskiza wimbo Moja kutoka Mombasa Hadi kakamega na nashuka kama bado ijaisha😂😂😂
2026-09-04 10:41:45
1
stevemilan77
Milan :
kuna siku nilikua na heartbreak nikaweka repeat mode , niliskia hio waraka mara mbili from Nairobi to kisumu,.na hata hio ya pili haikuisha
2026-09-04 09:13:37
1
stevomaish
SteVo :
unaeza enda airport upande ndege na urudi na bado wimbo haijaisha😂😂😂😂
2026-09-04 12:48:10
0
ochangoelphas0
@elly :
wimbo mbili zmejaza 2gb
2026-09-04 11:39:47
0
duncan.odhiambo.o
Duncan odhiambo Ochieng :
mi nilimwaga kabla amalize instrument
2026-09-04 04:53:46
6
To see more videos from user @tonysalm97gmail.com, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About