@wabongouchi: Mtanyooka

😱Wabongo Uchi😱
😱Wabongo Uchi😱
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 18:01:01 GMT
57511
1648
213
96

Music

Download

Comments

user7110023581114
user7110023581114 :
Tutoe na umeme ili tuheshimiane😂😂😂😂😂
2026-09-04 09:55:24
22
bariadintuzu
shaka zulu :
hapo inabidi na sisi tutoe umeme 🤣😂🤣🤣
2026-09-04 10:16:33
4
abdullnurbillhussn
Abdulnurbilhusni :
hili ndio tulilokuwa tunalitaka na sio hilo tu na mengine
2026-09-03 20:55:30
11
dhulqarnain2020
Dhulqarnain2020 :
Ila dhahabu ni zetu sote🤣🤣🤣🤣
2026-09-04 09:37:49
6
highlight.school3
HIGHLIGHT SCHOOL :
kwa nini huu muungane usivunjwe tuu mbona mnajipa KAZI viongozi wetu manakwama wapi?
2026-09-04 05:38:43
10
ndembe14
SIBU NDEMBE :
sawa sisi vichogo ila tambua mtwara Kuna gesi na mafuta pia Tanga pia Kuna uranium yani hakuna Cha kutuzidi mna tafuta sisi tunavyo
2026-09-05 10:54:36
4
_ss9665
@J-aura :
hili nililijua ty as Zanzibar wants to have full control of their oil construction in coming days
2026-09-03 20:48:41
3
g066155
G :
Hivi mambo yasiyo ya Muungano kwq upande wa Tanganyika yanasimamiwa na serikali ipi?
2026-09-04 11:23:53
3
mbovurider
Mbovu Rider 🚀 :
Hta sisi gas tunazo kitambo sana, nyie malimbuken t
2026-09-03 21:26:10
2
guramali.abbas
Guramali Abbas :
Aya madini tuliyonayo kila kona ya Tanganyika yanatosha sana
2026-09-04 17:02:25
1
zansafari.tours
Zansafari.tours :
ukivunjika Tanzania bara watafute kiti umoja wa mataifa
2026-09-07 15:13:30
2
ally41559
Ally :
ukivunjika raisi wa tanganyika atakuwa nani
2026-09-04 19:09:41
0
mohd.m.bakar
Mohd M Bakar :
Tukimaliza ges na mafuta tunataka mamlaka kamili ya zanzibar na muungano wa mkataba mtajuwa
2026-09-04 15:29:39
6
pascalanselimo
Sichura Nyara :
usichokijua huko Zanzibar kuna ndugu zetu kibao wanyamwez wa kutosha , wamakonde kibao na wasukuma wa kuzidi kwahyo hzo neema zinatufikia sote 😃
2026-09-15 21:37:39
0
ayoub.rashid01
Ayoub Rashid :
Alhamdullah Zahabu na Almas zenu za kwetu wote😂😂
2026-09-04 10:50:53
2
soipeyrolekimaki
soipeyrolekimaki :
ondoa umeme, gesi, madini aina yeyote, ili kila mtu apambane na hali yake
2026-09-04 16:14:41
3
zogo.babalao
Zogo Babalao :
Sasa si bora huku kwetu bara tumeanza kuvuna Gesi....!! Zanzibar ni kelele tupu hakuna chochote di Gedi di Mafuta
2026-09-05 18:10:34
0
naima.hussen4
NAIMA :
limeni kwanza acheni na mabishano kwa comment xidizokuwa na maana mki comment angalieni la muhim la kusema😊
2026-09-07 16:15:31
0
user5957805937958
#$345 :
safi mheshimiwa wetu
2026-09-03 19:01:49
3
elly36738
Elly :
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO NI IPI? KWANI ZANZIBAR HAWAPO SEHEMU YA SERIKALI HII YA MUUNGANO? MBONA ZANZIBA INATANYWA TENA KAMQ SIO SEHEMU YA MUUNGANO?
2026-09-04 13:53:38
2
hasantii9
Hassan tiieey :
safii samia
2026-09-04 14:12:32
1
meryshekoloa
Mery Shekoloa :
Mmmmhhhhh kila mtu atumie chake mpaka kodi zisipelekwe huko aridhi marufuku mzanzibar kujenga au kumiliki aridhi Tanganyika
2026-09-04 11:35:01
1
abdul.hafidh02
Abdul Hafidh :
mama unatuheshimisha
2026-09-04 08:23:48
1
salmin.mbarook
Salmin Mbarook :
sasa zanzibar sisituna ges na mafuta kwani miaka yote si hiv hiv
2026-09-04 07:37:52
1
s.kalou45
s kalou :
ss kwanz kwa nn musem tanzania musiseme tangnyika
2026-09-04 05:42:21
0
To see more videos from user @wabongouchi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About