@newtongues1: #creatorsearchinsights #spiritualmessages

Othniel Epi Grace
Othniel Epi Grace
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 18:10:25 GMT
19879
685
54
141

Music

Download

Comments

_onenut
Victor Jorho :
our next president is King David
2026-09-04 13:49:27
1
bosswalk_
bosswalk_ :
Background music inadistract kukusikia vizuri, bora ungeweka muziki wa kinanda tupu. huyo R Kelly anachangany sana.
2026-09-04 05:00:17
6
user1063843866281
i'm_nancy@ :
Kuna ulazima wa hiyo background mkuu
2026-09-04 13:39:25
2
prophet_jofrey_kaigarula
Prophet Jofrey Kaigarula :
Kiebrania hilo neno " Kumfanyia " ni neno ãsäh, maana yake kumtendea, kutimiza ahadi, kufanikisha, kuruhusu sio kwamba Mungu alifanya kama kwa Yesu. Kama kwa Hanna, Elizabeth na wengine. Yesu pekee ndiye alizaliwa kwa mbegu kutoka mbinguni, wengine wote ni wanadamu wa kawaida. Tafadhali naomba kwa upendo kapisa chimba hiki kitu ili usije ukaendelea na hili fundisho ni hatari
2026-09-04 15:26:41
1
nego2374
we can be herroes :
ungetoa hiyo background ya music inatuchanganya hatukusikii vizuri
2026-09-04 06:53:29
2
user3761076055017
Salem M. Patrick :
sio Tanzania 🇹🇿 MTUMISHI ANGALIA KENYA 🇰🇪 KWA KIEBRANIA INA MAANA YA KIOTA CHA MUNGU, AU PEMBE YA MUNGU kwa hio ni africa mashariki YOTE IMEBEBA ONO LA MUNGU
2026-09-04 06:26:08
2
user6032331930335
bigipopa :
unaongea fact sana wenye utimamu wa akili ndo wataelewa, ila next time mziki ume chini kidogo ili usikike kwauzuri
2026-09-04 08:46:29
3
baba.anna2
baba anna :
duuuu oya wanang kumbe edeni ilikuwa tz na hatuambiani😁😁
2026-09-04 04:46:12
1
feily.sangana
FEILY :
Namba 6 ni Nero aliwatesa sana Mitume na kuwauwa, nakubali baada ya hapa ni pumziko
2026-09-04 11:23:43
2
ndaxwizzy
𝒩𝒹𝒶𝓍𝓌𝒾𝓏𝓏𝓎404 :
tuelezee kuhusu kabila 12 za wana wa Israel kwa hivi leo
2026-09-04 10:55:49
2
wamee33
Wamee :
nigundishe
2026-09-04 15:08:41
1
denismganda7
🌍DMG🐦‍🔥 :
Ujumbe ni mzuri sana ila mziki wa Nyuma Du
2026-09-04 05:35:35
2
nyamizimalegesi
Nyamizi Malegesi :
unajua nimoeta ndoto,tutunze chakula,kwenye ndoto kuna saba,mara 2,yaani ninunue magunia saba ya mahindi nitunze,saba mengine kwa ajili yandugu zangu,eti kuna njaa inakuja
2026-09-04 05:05:24
1
paul.peter1865
Paul Peter :
Amina
2026-09-03 19:23:22
2
ramadhanmaulid735
Ramadhan Maulid :
amee
2026-09-03 20:02:17
2
...africanboy
AfricanBoy :
umeeleza vzr sn
2026-09-04 04:42:33
2
prophet_jofrey_kaigarula
Prophet Jofrey Kaigarula :
Habari ndugu yangu, hapo kwenye Mwanzo 21:1, tafuta zaidi. Kumfanyia ni kumtendea, yaani akaruhusu mimba iingie ya Ibrahimu. Soma Biblia ya Kiebrania utaelewa
2026-09-04 15:22:07
0
ochaikaka
Kaka :
lissu umemanisha yetu macho
2026-09-03 20:53:25
2
bruno_joseph3
bruno :
aisee kuna kitu apa
2026-09-04 05:31:26
1
mokela13
merry :
Asante sana kiongozi
2026-09-04 21:47:32
0
dada_mzuri
Minister Christine :
itoe hiyo background music inasumbua, unasikika lakini haueleweki...coz nyuma Kuna hiyo sauti.
2026-09-04 17:09:10
1
halunamdende
Haluna Mdende :
Ameniiiii ❤️♥️❤️♥️❤️♥️
2026-09-04 17:03:39
0
royal_1_priest
Royal Priest :
Hatma ya Mtu yeyote yule huwezi kuijua mwanadamu.
2026-09-04 16:18:46
0
sam.sb.sam
Sam_Digital✨✨ :
🤣🤣🤣 ila hii nchi
2026-09-04 06:42:42
0
To see more videos from user @newtongues1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About