وَمَا أَرْسَلْنَا مِن رَسُولٍ إِلَا بِلِسَانِ قَوْمِهِ لِيُبَيِّنَلَهُمْ“Na Hatukumtuma Mtume yeyote isipokuwa kwa lugha ya watu wake, ili awabainishie.”
(Surah Ibrāhīm 14:4)
2026-09-04 14:51:08
3
Flower one :
Tell them
2026-09-03 23:36:53
3
Abdallah Adamu Mlanga :
Kiarabu na kiswahili zote ni lugha
2026-09-04 11:38:18
3
SAID TWAHA :
Umegonga ndipo. Maa shaa Allah ❤️❤️❤️
2026-09-04 00:26:36
12
AbuuMohamed :
masufi shida yao hawataki kusoma rudi kwenye kitabu hiki kuhusu khutba kwa kiswahili
..
سيره اعلام النبلاء. امام الذهبي / الفقه على المذاهب اربع.
2026-09-04 01:51:47
2
fundi Bwanamkuu kipini :
Ngoma misikitini ondoweni.
2026-09-04 12:09:59
1
Havintishi :
munatuzingua hata quran wakati wa mtume saw haikutafsiriwa kwa kiswahili, je tusiisome
2026-09-04 04:35:44
3
parah 25 :
sisi ni waswahili hutuba ni ujumbe unatakiwa rutumie lughainayoekeweka
2026-09-04 12:32:39
1
Ramso money uchebe :
jamani sasa akhutubu kiarabu kwaambao hawajui kiarabu watajua vipi kwamba khutuba imeeleza nini
2026-09-04 05:44:53
0
Reehan Ray :
kila kiongozi atawaelekeza watu wake kwa lugha watakayoielewa na hiyo ndio hekma na kama Alla anavyosema tuliwatumia kila kaumu ndugu zao ambao ni mitume na khuthba ya Ijumaa hutolewa kwa kiarabu lugha zingine ni tafsiri tu ya yale yaliyosemwa kwa hivyo hakuna bidhaa hapo
2026-09-04 16:51:02
0
moh spices :
unajua kuna vitu havikufanywa kipindi cha mtume na madhehebu yote wanafanya hakuna anaepinga kwa sababu havina madhara kwenye ibada ukiona kitu kinapingwa ujue kina Shari
2026-09-04 11:24:22
0
user78791734302836 :
mna potenza wakati mwingi kwa ikhtilafat,watoto wanapotea,nyumba za vunjika .
mnashindaniya kilómetros gani?? umma inashida na mnatupeleka mashriq na magrib.
tulieni mtuongoze
2026-09-04 17:37:18
1
mashjarydollar :
Tufanyeni KIKAMILIFU aliyo yafanya MtUME, masha ALLAH sayid Arif umefafanua kwa ufasaha hawataki kuelewa
2026-09-03 20:06:08
4
mohamedizo575 :
kwani mtume alikuwa ni mswahili hata atoe hutba ya kiswahili. Alitoa hutba kulingana na kabila lake kisha Faida ya hutba ni nini. watu waelewe kinacho zungumzwa sasa sisi ni waarabu.
2026-09-04 07:54:54
2
AbuuMohamed :
je malengo ya khutba yanapatikana kwa kiarabu..jaribu umuulize mtu pale unatoa khutba ya kiarabu watu wanakuelewa.
2026-09-04 13:36:16
1
Abdallah Adamu Mlanga :
Unaongea siasa
2026-09-04 11:36:40
0
abdullykilola :
mungu ndio hakimu wa haya yote
2026-09-04 04:51:39
2
Abu Abdul :
Shida si mahali pake.je nikisoma tashahud badala ya suratul fatihah ni makosa?
2026-09-04 01:35:55
0
Haqeem :
khutba ya mtume ilikua ya kiarabu maana jamii yake ilikua ni waarabu wenziwe, na hao walioslim ambao c waarabu ilikua ni lazma wajufunze kiarabu.
2026-09-04 14:53:43
1
sheikh Ibrahim Said :
Uislamu imefika Faris ( Iran kwa SASA) za ya Omar bin khatab..
lakini Masahaba wala tabiin hawakufanya Khutba iwe Faris.
imebaki vile vile kiarabu
2026-09-03 22:44:07
3
ABLACKMOHA :
twaib yaa sheikh, ALLAHU AKBAR,
2026-09-04 04:41:31
2
To see more videos from user @ali.faza, please go to the Tikwm
homepage.