mi nilimbiwa niache salary ya one month nikaona tu nimwambie sitarudi,, let me tell you maina nimeosha ukuta, AC, Viti
2026-09-03 21:51:22
22
MUUNNAH ❤️ :
tufungulie tu download tueke status
2026-09-03 20:13:06
0
♓The Blessed one🐬🇺🇲🇰🇪 :
this is me 2023😅nlilipiwa 2 ways sijairudi😅
2026-09-04 04:42:14
1
kangangi makennah :
Uyu n mm next year inshallah 😂😂😂
2026-09-04 11:50:26
0
Mamake Evelyn :
This is me January 😂😂😂hiyo siku Hadi nitampea Tu peck
2026-09-04 06:17:00
1
user 254ashley3 :
machozi ya mamba, lakini moyoni anasema ni uhoro urigokora gatumia😂😅
2026-09-03 19:47:56
12
Becky :
huyu ni mm 2 months to go after nimeshida na uniform moja ndio wanabuy nguo
2026-09-03 19:06:12
14
Munish :
wangu aliniuliza utarudi nkamwambia ndio😁😁😁,,,mwendo ni wantam😂😂😂😂
2026-09-03 19:37:20
6
Dee sharks :
hii ni mim nilitoka Saudi nilihapa siwezi rudi hata sahii nikitoka oman mbionka kasongo 🤣🤣🤣🤣
2026-09-04 14:56:57
2
sylivia faustine :
🤣🤣🤣🤣ukitoka apo kabla ndege aijapaa ushamtafuta ajent akutafutie kazi sehemu nyingine🤣🤣🤣🤣
2026-09-04 07:21:19
5
fayee560 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maaaaaaaaasalama madam
2026-09-03 18:59:11
1
MRS SAHIL❤️🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Hii sk ntalia mbele yao ili wajuwe narud 🤣🤣🤣🤣
2026-09-04 06:21:52
0
johjoh :
mutumia niuhoro urigukora😂😂😂😂😂
2026-09-04 08:27:44
0
mwikali :
Mimi siwezi angalia nyuma 😂😂😂
2026-09-03 21:42:11
0
Kambua Jacob :
😂😂😂😂ebu amuulize naniii🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 19:14:51
0
vallary :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mm.last year 🤣🤣🤣nikarudi nyumba lkine🤣🤣🤣
2026-09-03 19:40:45
0
🦋Mrs Twinkle 🦋🦋🦋🦋❤️ :
Kuna mthiopia mwingine alienda akiacha madam wke n mimba so cha kushangaza Baba alimnunulia line y saudi so siku y kwenda kwao aliacha hyo line so vyenye akifika kwao madam akaanza kumtext inatick tu tick moja madam ajui kama aliacha line ndyo mimi nlimtumia voice kumbe baba ndyo alinijibu ndyo nikajua aliacha line😅😅😅
2026-09-03 21:07:29
1
💫💜Lee nyoms💫💜 :
uyu n mm Kabisa ntskula fare nov😂😂😂😂
2026-09-05 00:04:02
0
To see more videos from user @puriepaul, please go to the Tikwm
homepage.