@mzeemtepa: Mama Aliyepatiwa Kiumbe Na Mganga Kimsaidie Kuleta Wateja#fyyyyyyyyyyyyyyyy #fypシ #tiktok #foryou #tanzania🇹🇿

+255760208746
+255760208746
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 19:03:03 GMT
528507
7711
309
468

Music

Download

Comments

naimaazizi08
My NANA ❤️ :
kinapatikana wapi punguza maneno nitakijengea chumba 😳
2026-09-19 15:58:34
44
merinageorge6
merina George :
tunao mwamini Mungu makopa kwa wingi
2026-09-09 14:47:34
408
sweree6
sweree🥰🥰 :
Kiko wapi nikachukue changu😅😂
2026-09-03 21:48:11
11
halimasaid52
halimasaid52 :
Hebu nipe namba yake mi nataka angalau nichukue viumbe 30. Huwa vinakula nini dada. nataka wateja wengi kama foleni ya kikombe cha babu🥰
2026-09-20 02:32:12
7
rehema.wilson3
Rehema Wilson :
woi nitamtegemea huyu Mungu ananiepusha na mengi hadi mwisho sintokaa nisubutu
2026-09-03 20:42:14
118
user9071918560550
cate :
mi nipoo radhi kufa maskini
2026-09-03 21:05:35
16
user3087724281596
joycerichard :
Mh!!!! mungu unachonipa me nashkulu nsaidie nisikupinge amen
2026-09-03 20:49:46
51
bitulo15
BITULO :
kinapatikan wapi????
2026-09-18 20:36:38
3
user395619597383
TEAM🦋🦋 :
kipe cm niongee nacho kwanza nikielekeze kije kwangu
2026-09-25 08:01:25
2
subiramwajombe
Subira mwajombe :
mbn hunanuru sasa kama ndohivo
2026-09-09 12:18:39
0
user9384931117728
user9384931117728 :
duuu pesa hapana .alichonipa mungu narizika nacho .duuu hapana
2026-09-03 20:58:03
13
user7074191112123
Stano :
umepotea sana dada mwamini Mungu Kwa kila Jambo
2026-09-03 21:03:29
11
user8374298169481
binti mjwau :
NIKAE NA NA HUYU YESU KRISTO wa nazalet
2026-09-19 10:48:41
13
user92076631871172
user92076631871172 :
mhuu kwa hichi hapn nibaki na nilicho pewa
2026-09-03 21:12:27
5
user33697735799776
Rose 🌹Mluguru 207 :
Asa Mimi mbona naogopa 😭😭😭😭
2026-09-24 05:23:01
3
masanja513
keeper :
ulipo nipea namba
2026-09-29 17:16:38
1
zealtimim
Hanezly timimi🇾🇪🇹🇿 :
subhanallah
2026-09-29 13:32:22
1
bitulo15
BITULO :
nakipataj namimi????
2026-09-18 20:37:10
3
suzzyrichard113
Suzzy Richard :
Ee MUNGU wangu naomba katika maisha yangu ya shida na raha nikutegemee wewe daima AMEN 🙏
2026-09-05 19:08:34
5
modestar.gipson
Modestar Gipson :
nakiogopa kukionat kwnye cm. je live nitakufa kabisa🤦
2026-09-27 21:30:59
1
user1072683112652
Miss mukure 🥰 :
eee Mwenyenzi Mungu nipe za saiz yangu🙏🙏🙏🙏
2026-09-18 16:32:07
2
doreen.maulah
Doreen maulah :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maisha haya watu hatuna hata uwoga
2026-09-21 08:18:33
0
user369977967
𝕃𝕠𝕧𝕖 𝕃𝕦𝕟𝕒..🦋🦋 :
حسبي الله ونعم الوكيل 🙏
2026-09-06 13:51:44
1
millight2
Millight :
katika jina la Yesu hakuna aliemwamini Mungu akaacha kufanikiwa. sema Amina tunaomtegemea Mungu katika mambo yetu yote
2026-09-25 15:43:05
4
randiek8
Lukio :
oria amenichosha na hii kiumbe
2026-09-03 21:31:16
1
To see more videos from user @mzeemtepa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About