@teach525: #creatorsearchinsights #chryslersouthbronx

TEACHER💯💯
TEACHER💯💯
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 19:04:59 GMT
346876
13273
685
1885

Music

Download

Comments

tegemea113
tegemea :
asant mam
2026-10-21 21:04:08
0
jaylene981
jaylene🥰 :
mm ananipa lakn anakuwa anachukua kdg kdg😂😂
2026-09-04 16:39:13
62
user8161127707257
young lady :
Hallelujah Hiyo ndiyo tabia ya Mume wangu... Namshukuru Mungu kwa ajili yake
2026-09-04 05:55:19
183
daladalampya
dala5 :
yani nitafute pesa hlf zote nimpelekee kasongo home 😂
2026-09-18 08:44:17
55
mtumishilaban1
Mtumishi Laban :
usisahau kuwaambia kuwa anayetakiwa kufanyiwa hivyo ni mke mwema tu!
2026-09-05 08:41:37
59
official_mtiamoyo1
Official Mtia Moyo :
mwanamke ndiye ataamua aaminike au Hapana
2026-09-17 11:54:51
44
leedolliz
Leedolliz :
Huyo ni baba angu kabisaaa akipata 7M anaenda kwa mkewe anamwambia mke wangu nina 7M chukua 5M hiyo hapo af anabaki na 2M ila hiyo 2M aloondoka nayo hutajua imeishaje😂 ila ndo kashampa mama 5M ya maendeleo mafundi wanamuogopa mama kuliko baba wanajua tukimuudhi bi mkubwa malipo yatakua hafifu japo wanajua baba ndo mtafutaji ila wanajua mlipaji ni mama😂😂kukitokea mgogoro wowote baba anaenda mwambia mama akahangaike nao😂 yeye ahusikii kabisa anakaa pembeni hata kwenye migogogoro ya ardhi ambayo jina linasoma la baba yani amempa mkewe nguvu mama anampa heshima mwisho wa siku hakuna linalofeli kwenye familia yake😁wanawake tunaroho ya mipango wanaume wanaroho ya uongozi kwahiyo ukimuamini mkeo ukamuongoza yeye akafanya mipango aaah shida utazisikia kwa watu🥰
2026-09-18 15:03:31
17
babychawe
baby chawe🖤 :
uy wangu akiwa Hana ndo anasem.sina akipata sjuii
2026-09-04 06:19:39
30
user6548467583481
AgnessAmos :
et mme wangu ananiambia yeye anaenda kulala kwa baba ake coz baba ake anasafiri hv ni sawa kweli kwa mtu alieoa?
2026-09-16 09:14:14
17
dougl908
Doug :
biblia inasema hivyo wapi?
2026-09-04 10:15:25
12
mallyaester
mallyaester :
Sio kwa mamaangu yaan ataakikish iyo ela analipia marejesho yote😅😅😅😅
2026-09-04 05:56:28
19
mjwanga0
mjwanga@ tv :
sio Kila mwanamke anaweza kupanga mambo itategemea nimwanamke mwenye uwelewa gan??💃
2026-09-04 20:36:25
11
honluhemeja
Hon Luhemeja K Z :
ukiambiwa jambo changanya na zako🤣🤣
2026-09-04 04:23:48
7
obogeneralsupply
Alice is mom ❤️🔐 :
kweli kabisa
2026-09-04 15:09:13
5
deprais09
Deprais :
😂😂😂😂😂😂😂ALISEMA TUISHI NAO KWA AKILI😂😂😂😂😂😂
2026-09-04 04:30:03
8
louiskusaya
[email protected] :
Huyo ni Mithali mama, wala sio Mimi et.... Mm kikubwa anapata mahitaji yake yote, Hela ya kwangu Ina mambo mengi sio ya kuchezea kumuamini mtu et....
2026-09-07 10:28:19
5
farceble
farceble :
2026-09-05 06:06:36
7
user4265312935694
user4265312935694 :
nitafute kanisa nikasali hii roma inanichelewesha
2026-09-04 10:03:06
6
user17120322710485
[email protected] :
mungu anitunzie huyu mke wangu nikizipata nampa zote ila sasa nikimuomba kwamba nitarudisha hanipi anasema hakuna hela ananuna siku nzima dahh mke wangu mungu alinipa ww ila nakupenda maana bila ww nisingekua hapa nakupenda kwa kila kitu chako hata waseme nini mwaka wa 9 huu sijawah kujutia kukufahamu mamaangu haijalishi tunapitia mangapi ww ni furaha yangu amani yangu inuko langu na mama yangu uliebakia duniani nimekuangusha mara nying ila hukunichoka asnte mke wangu nakupenda sna
2026-09-04 19:29:01
18
user3046054310034
mrs joackim 046054310034 :
Mungu nitunzie mume wangu mpe maisha marefuu maaan siwezi pata kama yeye
2026-09-04 15:58:15
5
kakamkubwa12
kamimi store🫶 :
Sikuizi hamna mke tunaishi na marafiki zetu😂
2026-09-04 18:12:27
11
user68081557303475
user68081557303475 :
😅😅 Daaah! kazi kweli kweli. nikipata million 2 nitatoa za matumizi yangu 1,7m.
2026-09-04 05:19:22
5
eye74917
@🦅eye :
mwanamke Ni dadangu Na mamangu 😅😅
2026-09-18 16:59:12
2
zey.key.one
zey key one :
Nonsense
2026-09-20 04:56:18
2
user7313686529593
alwaystiba@ :
sio kwamba hatuwajui shida hamaminiki
2026-09-16 22:22:40
1
To see more videos from user @teach525, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About