@abdullrahman.gand: #swahilitiktok Mwanaume anafaa kua kiongozi nyumbani na kuzingatia majukumu yote ya familia ikiwemo kumuangalia mke wake kulingana na mafundisho ya Dini ya kiislamu.ALLAH azipe wepesi Ndoa zote za halali na ajisafanye ni ziwe zenye kudumu kwa ushikamano na upendo🙏#sheikh_ibrahim_mkongomani #Mwanaume_ndio_kiongozi_wa_familia_yake_na_sioMke_kuongoza_Familia#swahili #mawaidhayenyemanufaa
❚█══₳฿ĐɄⱠⱠⱤ₳Ⱨ₥₳₦ ◌◎▩░✧
Region: KE
Thursday 03 September 2026 19:17:15 GMT
Music
Download
Comments
Thuma Khalfani :
wambie
2026-09-05 12:00:12
1
delin 🥺 :
Mama mariam nimeona coment yako tukutane nyumban
2026-09-04 17:50:03
1
Mariam basogomba :
wambie waskie shekhe🤣🤣
2026-09-04 11:00:24
2
zaiynabu saleh :
mungu akuweke shehe wanauma wanachosha na majukumu yao hawayajui
2026-09-04 05:47:56
12
Aridja Lydia :
Asalm🤝
2026-09-04 09:26:43
7
Starsha🇰🇪🇰🇪 :
Yani walai mm najiesabu kama mjane Ila ALLAH pekee ndio hakimu wa haki
2026-09-04 07:07:32
5
aijaz :
wambie shee
2026-09-04 09:59:33
1
fatina :
Tacbir
2026-09-04 18:03:48
0
user79029931954242 :
ongeza sauti huku hawasikii vzr
2026-09-04 13:37:47
5
@Dinaah👀 :
Allah akuzidishie umri mrefu ishaallah🤲
2026-09-04 13:46:55
6
dhulikifil :
ukweli kabisa
2026-09-04 09:48:59
4
Shufaa Sh :
tumepata mtetezi wetu jamani nakupenda bure shekhe
2026-09-04 05:36:16
5
SAKY CAKES& BITES :
kwa mara y kwanza kuku sikia wawatetea wanawake
2026-09-04 17:19:50
2
Umm Mahir :
Swadakta Sheikh Wambie Wasikie 😂
2026-09-04 03:52:18
3
mr shot :
Subhanaallah
2026-09-04 13:55:47
2
anu :
haha. soi. .Aisha. ni. mapana. yao
2026-09-04 04:15:06
1
Amina :
kweli
2026-09-04 17:29:10
1
beby kyuty :
allah akbar
2026-09-04 18:51:40
1
Nassim☪️ :
SubhanaAllah
2026-09-04 18:38:44
1
Mwanaidi Juma :
Ukweli kabisa
2026-09-04 18:33:12
1
bity bujo :
kweli
2026-09-04 07:59:48
1
msami :
kweli kabis shekhe
2026-09-04 14:12:07
1
asiamohamedi683 :
I shall ha mung akuja alien shehewetu
2026-09-04 18:56:10
1
baby nuuman :
inshallah 🤲
2026-09-04 16:22:47
1
Dr saleh stambuli Mohamed :
allahu Akbar
2026-09-04 15:52:25
1
To see more videos from user @abdullrahman.gand, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.