@unosyemwamtobe746: Day3

Unosye mwamtobe
Unosye mwamtobe
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 20:00:52 GMT
301085
29198
762
137

Music

Download

Comments

sarahmaeda872
sarahmaeda872 :
ukisha pika ugali dear kuwa unasafisha mwiko huwa unamaana kubwa sana nimepita tuu nawapenda sana nizalieni ka mwalii
2026-09-03 20:14:21
477
tee42288
🩷__lady mgana__🩷 :
Nina miaka miwili sijala ugali mnatutamanisha tyu😁🥺
2026-09-04 04:48:56
21
pendo.official29
OfficialPendo❤️💖. :
wale wa ijumaa asubuh
2026-09-04 04:04:34
228
baby.zyder
Miss🌸 Zyder💜💋 :
Wale wa saa5 ucku em kujeni apa waarifu wenzang msio jua kulala mapema 😁😁
2026-09-03 20:06:00
168
kidoti6896
Me🧸 kidoti🎀🎀 :
wale wa saa 7 usiku tujuwane
2026-09-03 22:04:09
46
elizabeth.benedic21
💞britney💝 :
wa saa6 usiku tujuane🤣🤣
2026-09-03 20:43:44
54
babyge24
🌹ZEEYM🌸 :
wale wa asubh na wifi za bure tujuan😅
2026-09-04 05:06:26
107
pajejetskirentalszanziba
paje_jetskirentals :
nashkuru Mungu nimekuwa miongoni mwa waislaamu. Alhamdulillah
2026-09-03 21:29:48
28
monicaromward0
KOKU BUBELWA :
Mama angu angesha nitia bao ka mwiko maana huwez kula Bila kuosha mwiko
2026-09-04 08:54:27
9
theresiakigahe
theresia kigahe :
mwiko zingatia kuusafisha dada baada ya kupika
2026-09-04 12:34:32
8
marynamsey006
Ms.mary :
I always admire you people. much love from kenya 🇰🇪
2026-09-03 20:10:24
5
itsvall57
✨𝔀𝓽𝓯._.𝓷𝓪𝓼𝓱𝔂💫🥵 :
ikifika 1000 likes niambieni😂😂😂
2026-09-03 20:04:30
5
lemaizer
Maxmaizer :
vijiji hatulagi lost na ugari wa sembe mtusemehe kabisaaa
2026-09-03 21:21:10
8
keihmwanah
keih Mwanah@1 :
33$33
2026-09-03 21:52:31
1
micgee54
MissGee🦋 :
cameraman halagii au😂🤗
2026-09-04 15:01:09
2
cycyofficial8
cycy _official :
10/10
2026-09-04 04:06:51
3
user747973240362
user747973240362 :
natan na me niwe kam nyie
2026-09-09 12:42:04
0
priscahpaschal
prisca❤️❤️ :
niwapenda sana ipo siku niwaone tu
2026-09-03 20:30:17
5
chibwa.love
chibwa love ❤ :
wale wa saa 9 usiku 2juane
2026-09-03 23:20:40
8
use.asiy
🦋asiay🌎🌹 :
mimi nime meza mate
2026-09-03 20:05:42
1
joharadam1
joharadam1 :
🤣🤣🤣 Eti usije ukamutupia pilipili 🙌
2026-09-04 06:54:37
1
yunnyjay
breezyger :
me siendi mbali🤣🤣🤣
2026-09-04 05:03:29
3
dotomagri
DOTO MAGARI :
mtaachanatu
2026-09-06 13:18:44
2
young_mg2
𐙚₊˚⊹ 𝑳𝒐𝒗𝒆𝒍𝒚 ⊹˚₊𐙚 :
Wale wa ijumaa gonga like 😁
2026-09-04 15:32:55
4
latifamohd909
Latifa Mohd :
dada me nimeambiwa na bibi mwiko uwe unaoshwa sawa kpz dada🥰🥰
2026-09-04 12:57:31
0
To see more videos from user @unosyemwamtobe746, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About