waambie wamefell ,mama Samia for development of Tanzania 🇹🇿
2026-09-03 20:35:37
40
Dejong Al-qasus 🐊 :
Hatar sana 😂😂😂😂😂 kumbe watu pesa wanazo na hawasemi 😂😂😂😂😂
2026-09-03 20:40:35
24
mwanaelazuber :
tuna mpenda samia san
2026-09-03 21:08:16
33
ShifaosKitchen :
huyu apewe ulinzi dada wa taifa ndio huyu sasa Mungu akutunze
2026-09-04 08:36:18
30
Reyyan❤️😍 :
😍kwakwel🥰mama samia kazi iyendelee
2026-09-03 20:53:22
10
Mwewe :
Bycola nakupenda
2026-09-03 20:16:00
8
UMMY GIFT 🎁 :
Mama samia 5 tena❤️
2026-09-03 21:27:40
10
naitham :
Ilove you mama samia🥰
2026-09-04 07:13:03
6
Evaristo Malengo :
Kumbe alikuwepo. astaghaflurah. Kuhusu hela alete tukafanye vacation ya post-anniversary Tangire 🤣
2026-09-03 20:26:41
11
SaidGesso :
Waambie hao hawajui ukweli
2026-09-03 21:50:25
6
user5554467661185 :
dada nimekupenda bure
2026-09-04 08:37:19
5
KIHOZI ALQASUS :
tupo na mama na tunampenda sn zaid ya umepndo
2026-09-03 20:44:43
18
mzulu669 :
VIJANA WA DEJONG TANZANIA 💚💛💪🏽
2026-09-04 08:15:41
3
malcomh :
Bycola Adam nimekumiss sana kwenye haya mambo yetu.
2026-09-03 20:26:44
5
Meckson Mosha :
Tangu lini umbea na maneno ya mtaani yakaleta maendeleo?Badala ya kusikiliza maneno ya mtu aliyosema usikilize simulizi za mtu amehamua kujiongelea.
Kutokujua jambo ni shida sana.
2026-09-12 10:05:19
0
Ahmad Mkinga :
ww mm nakukubali atali kama tuzo za Nobel ninge kuwa na toa mm ninge kupa ww
2026-09-04 14:07:35
6
Thady :
Tufumbue macho dada yangu sisi mambumbumbu!
2026-09-04 09:38:05
2
T :
Umesahau na hili, mzee warioba baada ya marekebisho ya sheria mwaka 1992 kutaka kuendana na mfumo wa vyama vingi,ilimfanya warioba akagombee ubunge ili akipiga ndio aendelee na uwaziri mkuu baada ya 1995, kabla ya hapo alikuwa ameteuliwa na Mwinyi 1985 kuendelea kama mbunge na akapewa uwaziri,hivyo asingeweza kuteuliwa tena na alikuwa mwanasheria mkuu wa selikali na waziri wa katiba na sheria mpka 1995😉.
Makasiriko yalianza baada ya kushindwa uchaguzi jimbo la Bunda alipokuwa akichuwana vikali na mzee wasira akiwa NCCR Mageuzi, japo ubunge wake ulikumbwa na kesi ya kupinga matokeo iliyodumu muda mrefu na kupelekea wote wawili kutokuwa wabunge, na wasira kufungiwa mpka 2005 wasira akalejea. Baada ya hapo mzee akaona katiba inamkaba, bad enough mchakato haukufika mwisho hasa kwa sababu ya Idadi na muundo wa selikali.
2026-09-04 10:19:09
7
💋BINAH :
VIJANA WA DEJONG TANZANIA 🇹🇿 🔥🔥🔥🔥
2026-09-03 21:21:10
1
Yaumu Juma :
🥰🥰🥰wewe mwamba kabisa
2026-09-04 05:00:22
2
Mkojani mubbah :
dada dadaa dadaaaa ucmalizeeeeeee3ee
2026-09-04 14:54:18
2
Husna jabu said :
Bycolaa me asaaaa nakupendaaaa ❤️👌….
2026-09-04 07:30:58
4
Abhaaly :
#VIJANA WA DE'JONG TANZANIA ❤️
2026-09-04 06:13:58
3
samia :
saruti kwako
2026-09-04 05:29:23
2
sweet emmy🥰♥️🥰🌹 :
i love mama samia
2026-09-04 05:26:59
2
To see more videos from user @miss_adam03, please go to the Tikwm
homepage.