@ngovi_tz: Mzee anasema hata madebe hakuwa na tatizo kwa chanuo tadizo lilikuwa chanuo mwenyewe.

Battletv_Tz
Battletv_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 20:26:41 GMT
113960
7865
288
91

Music

Download

Comments

mwasiti.isa
Mwasiti Isa :
hadi wazee wambea sikuhiz
2026-09-04 04:30:33
42
king.saka34
King Saka :
huyu mzee apewe ulinzi tafadhali hasipotezwe
2026-09-04 05:05:11
91
sikamonaomary
Dr.Sikamona :
tunakuonea huruma sana CHANUO kwa hili utapita pagumu sana
2026-09-04 05:45:42
61
ibraally981
Ibra Ally :
mzee big up
2026-09-04 11:42:43
1
junior_mkemia
JUNIOR MKEMIA :
Wazee wanaona mbali kweli... nimekubali...😳😳😳
2026-09-04 14:01:48
4
aishaibrahim8982
jane :
Chanuo abadilike
2026-09-04 05:15:29
3
user6382093883618
samy :
Hataukiachana na mtu usimzalilishe
2026-09-04 11:48:27
20
nirrlypixel
nirrlypixel 🦋 :
ukishaona unachana na mtu na bado anakuzungumzia vibya ujue huyo akuwa tayari kuachana na ndomna yanamtoka mengi ili akuchafue alidhishe moyo wake kidgo mna huwaga akubaliani na huyo hali anaendeshwa na paniki ya hasira ya kukikosa atakacho
2026-09-04 06:39:51
21
user8226876399105
BMG GYM :
Tanzanian tangu 29 october 2025 ,watu hatuko sawa😂
2026-09-04 01:42:56
17
agnes.alex3
🦋 A 🦋 A 🦋 chawe🦋 :
afu sijui kasahau kama ni baba wa watoto wake na wanakua sijui atawambia nini
2026-09-03 21:48:17
27
hawaa0346
hawaa :
babu ulicho sema nikweli
2026-09-04 09:58:54
21
mwanaishakingo715
mwanaisha kingo :
upo sahihi baba
2026-09-04 03:58:43
19
user8722115998847
user8722115998847 :
kwann anatoe siri za ndan
2026-09-04 15:47:53
2
sophiakamba298
Sophia Kamba :
asante baba chanuwo hajitambuwi
2026-09-03 22:00:41
8
mamag722
mamag 722 :
Kuna niny mnaochambana na ma ex zenu na mnaanikana hadharan alafu kuna sis tunaoachana kimya kimya then tunakua marafik hata kwenye shida tunasaidiana
2026-09-03 21:54:13
12
husnaramadhani77
Callmehuu💦 :
Bwana weee wanamuwanz yey anamalizia
2026-09-04 06:07:20
0
user8506901016828
siweOg23 :
maisha haya jmn mm nimwanamke lakn sjawah kfikia kiwango cha hvyo daaah
2026-09-03 20:37:26
14
user7477453614352
aisha :
mtu mkiachana sio vizuri kuchafuana tena mzazi mwenzio, muachane mwisho mnaishi kam washkaji kuna maisha mengine baadae .
2026-09-04 03:45:40
8
maziku82
Issa :
mzeee oyeeeee baba wape habari wenye tabia hii
2026-09-04 04:10:33
5
sikamonaomary
Dr.Sikamona :
MPAKA SASA TUPO UPANDE WA MADEBE
2026-09-04 05:44:26
3
abdul.tz19
ABDULLAH TZ✈. :
mimi kama rais nasema kwamba huyu mzee alindwe.
2026-09-04 14:23:51
3
yambiashura
user6544829768737 :
kwani chanuo ye anasemaje
2026-09-04 04:21:46
1
fatma.ally408
Fatma Ally :
kweli kabisa ajielewi
2026-09-04 13:23:10
2
allyknxx4sn
aziza milao :
Bora kuwa single
2026-09-04 07:09:31
3
user2780493382425
rachel :
Kabisa kakosa sana chanuo huwezi kumuzalilisha mwanamme kiasi hicho jamani
2026-09-04 08:34:12
2
To see more videos from user @ngovi_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About