Mwamba nilitaka kulia kabisa kwa sababu inanigusa sana hii 😭😭
2026-09-04 08:49:29
8
GFX tejoo :
over
2026-09-05 10:58:37
3
BRAKER💔🥶 :
God siku zote mkuu
2026-09-05 08:17:06
2
Geofrey_Jr :
Maisha ya kwel muzee
2026-09-04 13:29:11
4
its tee💫💥 :
Sana big
2026-09-04 08:01:16
4
Johny Tz :
asante mungu
2026-09-05 06:49:13
1
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-09-04 21:10:27
2
emmanueldiyomedi :
Daah kwa kwel
2026-09-04 13:15:53
2
Elikans Dotto :
kaka achaachakaka
2026-09-04 17:00:41
2
tajili wa vigang :
kweli kaka
2026-09-04 08:41:37
2
Gee🦋♥️ :
daaaaa aisee 🥰🥰🥰
2026-09-04 16:13:11
2
Beni Kidinda :
@ 😏. 4 5. 😳
2026-09-04 13:24:50
1
Professor J :
weeee ach 2
2026-09-04 21:31:03
2
0829835100 :
hâta mimi 🥰🌹🤲
2026-09-04 08:44:45
3
💫✨BWENZA-OG💙💔 :
mwanangu wewe
2026-09-04 14:47:38
1
CHEF SALIM BUNGULE :
picha kali
2026-09-04 06:45:19
0
WANTED64💯 :
duuh acha tu
2026-09-05 09:01:31
2
Baba muuh 💎 :
sana wajina
2026-09-04 20:53:40
1
lewis ambros :
daah umetisha kiongoz
2026-09-05 15:18:22
0
nerisoni ngumbi :
sana kaka
2026-09-05 15:12:26
0
Sultan_voi 😃 :
in sha Allah
2026-09-05 11:58:16
2
binti Grace :
Maisha Halisi 🥺🥲😭🙏🙏🙏
2026-09-04 09:42:10
1
To see more videos from user @juniorjuandella, please go to the Tikwm
homepage.