@feranmi__7868: #fyp #goviral #relatable

Feranmi🎭
Feranmi🎭
Open In TikTok:
Region: NG
Thursday 03 September 2026 21:10:54 GMT
1274
131
1
8

Music

Download

Comments

realtime.godwin
[✝️G°O°D°W°I°N☦️] :
Mr money for reason 💫🪖
2026-09-03 23:21:26
2
To see more videos from user @feranmi__7868, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Ikiwa unataka nyota yako ya fedha ing’ae na upate mafanikio ya kifedha, kuna tabia na mambo unayopaswa kuepuka kabisa. Watu wengi wanashangaa kwa nini pesa hazikai au kwa nini wanapata pesa kwa shida, lakini mara nyingi, ni kwa sababu wanaharibu nyota yao ya fedha bila kujua. 1. KULALA NA MADENI USIKU Kabla ya kulala, hakikisha umelipa madeni madogo unayoweza. Kuingia usingizini na mawazo ya madeni kunaziba nyota yako ya fedha na kukufanya uishi kwenye mzunguko wa umaskini. 2. KUTUMIA PESA BILA MPANGO Pesa inapokuja kwako, usiitumie kiholela bila mpangilio. Ikiwa unapata pesa na unazitumia zote bila kuweka akiba au kuwekeza, nyota yako ya fedha inazidi kuzima polepole. 3. KUBAKI NA FEDHA CHAFU Pesa zilizopatikana kwa njia haramu au zisizo za haki zinaweza kuzuia mtiririko wa pesa zako. Usitumie pesa za wizi, ulaghai, au pesa zilizopatikana kwa kumuumiza mtu mwingine. Pesa hizi zinabeba nishati hasi inayokata mtiririko wa utajiri wako. 4. KUKOPA OVYO Kukopa pesa kwa mambo yasiyo ya msingi kunaharibu nyota yako ya fedha. Ikiwa una tabia ya kukopa pesa za matumizi madogo madogo, unajifunga kwenye kifungo cha madeni ambacho kinazuia utajiri kuja kwako. 5. KUTOLEA PESA MIKONONI MWA MTU ALIYENA NYOTA MBAYA Kuna watu ambao nyota yao ni nzito, na ukiwapa pesa mara kwa mara, wanaweza kuharibu mtiririko wako wa fedha. Jifunze kujua nani unamsaidia na kwa kiasi gani. 6. KULA AU KUNYWA KWA WATU WENYE WIVU NA CHUKI Usile au kunywa kwa watu ambao hawakutakii mema. Watu wenye chuki wanaweza kuweka nishati mbaya kwenye chakula chao, na unapokila, nyota yako ya fedha inaweza kuzimika. 7. KUVAA NGUO ZILIZOCHAKAA NA ZENYE MATUNDU Nguo zako zinawakilisha nishati yako. Ikiwa unavaa nguo zilizochakaa sana, unatoa ishara kwa ulimwengu kuwa umeshindwa kifedha, na hii inaweza kuzuia utajiri wako. 8. KUTUNZA PESA KWENYE SEHEMU CHAFU Hakuna pesa inayotaka kukaa mahali pachafu. Ikiwa unatunza pesa kwenye pochi au mkoba mchafu, pesa zitakukimbia. Hakikisha pochi yako ni safi na ina mpangilio mzuri. 9. KUWA NA FIKRA ZA UMASKINI Ukisema mara kwa mara “Mimi sina pesa”, “Nina bahati mbaya kifedha”, au “Pesa hainishiki”, unakuwa unathibitisha umaskini wako. Badala yake, tumia maneno chanya kama “Nina mvuto wa pesa”, “Pesa inakuja kwangu kwa wingi”, na “Nimebarikiwa kifedha”. 10. KUTOA PESA ASUBUHI MAPEMA KABLA HUJAPATA INGINE Kutoa pesa mapema asubuhi kabla hujapata nyingine kunakata mtiririko wa fedha zako. Hakikisha siku yako inaanza kwa kupokea pesa kabla hujatoa. 11. KUHESABU PESA USIKU Usihesabu pesa usiku, hasa ukiwa kitandani, kwa sababu nishati ya fedha inapungua wakati wa giza. Hesabu pesa zako mchana au jioni mapema ukiwa mahali panapofaa. 12. KUTUNZA FEDHA NYINGI MFUKONI PASIPO KUWEKA SEHEMU SALAMA Kutembea na pesa nyingi mfukoni bila mpangilio kunazidisha matumizi mabaya na kunafanya pesa ziondoke haraka. Tenga pesa zako vizuri na uwe na akiba. 13. KUSHIKA PESA NA MIKONO MICHAFU Kila kitu kinachoingia kwenye maisha yako kinahitaji usafi. Ukiwa na mikono michafu unaposhika pesa, unaharibu nishati yake, na inaweza kuondoka haraka. 14. KUKATAA MSAADA KWA WALIOKUINUA Ikiwa kuna mtu aliyekusaidia kifedha, usiwe na tabia ya kuwasahau au kuwadharau. Kufanya hivyo kunaweza kuzima baraka zako na kufanya pesa zisikushikilie tena. 15. KUTOKUWA NA MIPAKA KATIKA KUTOA MSAADA Kusaidia ni vizuri, lakini kusaidia kupita kiasi kunaweza kuathiri nyota yako ya fedha. Hakikisha unajitunza kwanza kabla ya kusaidia wengine. JINSI YA KUFUNGUA NYOTA YAKO YA FEDHA ✅ 1. Oga kwa chumvi ya bahari au maji ya limao mara kwa mara ili kuondoa nishati mbaya. ✅ 2. Tumia maneno mazuri kuhusu pesa kila siku. ✅ 3. Weka pesa zako sehemu safi na yenye mpangilio. ✅ 4. Epuka kukaa na watu wenye fikra za umaskini na lawama. ✅ 5. Tumia mafuta ya mvuto wa pesa ili kuongeza nishati ya utajiri. ✅ 6. Panga matumizi yako na usitumie pesa kiholela. ✅ 7. Omba baraka na uombee pesa zako kabla ya kuzitumia #tanzania #habari #maisha #Motisha #TiktokTanzania🇹🇿🇹🇿k🇰🇪

About