@noorulqalb21: 🌙🕌 SUNNAH ZA SIKU YA IJUMAA 🤍 Ijumaa ni siku tukufu—tuitumie kwa kumkumbuka Allah, kumtakia rehema na amani Mtume ﷺ, kusoma Qur’an na kufanya ibada kwa wingi. 🌿 ✨ Kuoga • Kupaka manukato • Kuvaa mavazi mazuri • Kwenda msikitini mapema • Kusoma Suratul-Kahf • Kufanya Dhikri • Kuomba Dua • Kumswalia Mtume ﷺ 🤲 Allah atujaalie tuwe miongoni mwa wenye kuhuisha Sunnah na kutumia siku hii katika mambo yenye kheri. Aamiin. JUMMAH MUBARAK 🤍🌙 #JummahMubarak #SunnahZaIjumaa #Mawaidha #IslamicReminder #NoorulQalb