@zamrani.suleiman: DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:- ■Kukojoa Mara 5-10 wakati wa usiku (kukojoa saana usiku.) ■kubakiza mkojo kwenye kibofu. ■Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali. ■Kupungukiwa nguvu za kiume ■UTI ya Mara kwa mara. ■Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo. ■Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo. ■Damu katika mkojo ■kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu ■kutokuishiwa hamu ya kukojoa *MADHARA YA TEZI DUME* ●Kushindwa kabisa kukojoa. ●Kupatwa na maambukizi ya UTI ●Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu. ●Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea. ●Kibofu cha mkojo kuuma, hivyo kupelekea mkojo kurudi juu na kuharibu figo na Ini ●Njia ya mkojo kuziba kabisa ●Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure) ●Kushindwa kumudu tendo la ndoa ●Ugumba (infertility+frigidity for men) ●Kutokea kwa majibu sehemu za tezi dume *Ninayo bidhaa pekee ambayo inaenda kuondoa hilo tatizo nitafute sasa. #fyp #Lifestyle #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypppppppppp

madam faidha
madam faidha
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 21:24:29 GMT
112
2
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @zamrani.suleiman, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About