Wakati mwingine pia tunajaribiwa kwa tamaa zetu wenyewe, umetamani kitu unadumbukia mazima bila kuwaza tutavuna nini, yamkini ni mali/fedha au chochote tuu,
James|Yakobo 1:13-14
[13]Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.
[14]Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.
2026-09-04 12:50:21
4
Symply_dijah :
Exactly
2026-09-04 05:24:33
4
abdulkarimseif911 :
mnaocoment mung nisameh just nawakumbusha tu kuwa mungu asomi comments tunatakiwa tuamke usiku tusali / kuswali na kuomba msamaha
2026-09-04 15:06:29
1
tinah_255 :
kiukwel mungu nisamh y
2026-09-04 15:19:56
0
Chunaa wa daddie☺️🥰 :
Kweli kabisaaa hii jmn
2026-09-04 09:49:50
1
pillybeuatycosmetics🧿 :
Da fif unaongea ukweli kabisa
2026-09-04 06:29:18
1
user3433989850892 :
nashukuru kwa huu ujumbe
2026-09-04 04:14:32
1
@Anna🌹❤️ :
Mungu nisamehw na unikumbuke
2026-09-04 13:47:21
0
CHAMlDEKO🤲♥️ :
kweli kipenzi
2026-09-03 22:36:56
2
Shine cosmetics Arusha💦🍒 :
Kweli kabisa📌📌
2026-09-04 06:58:24
1
giovanna juice point :
Mungu nirehemu
2026-09-04 13:49:04
0
catherineomary303 :
hakika ni ukweli mtupu
2026-09-04 12:06:16
0
TERRIE :
true
2026-09-04 04:09:45
1
Aysha💜💜💚💚🍕 :
kweli
2026-09-04 09:39:56
0
Latifa :
Kweli Yani.
2026-09-04 12:48:33
0
Really Rashid ✨ :
unaongea mi nawaza mapenz😍
2026-09-04 15:43:22
0
Auras🍀🍀 :
Karma
2026-09-04 11:37:10
0
ariah :
Mungu unirehem n hakika siwez pekeang I need u god 🥺
2026-09-04 10:22:50
0
user81673397029272 :
sahihi
2026-09-03 21:50:00
0
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm
homepage.