@teamkiba03: OGA TAKATA KAMA UNAUTAKA 🤓 #fypシ #Alikiba #kenyantiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #kingkiba

Team kiba
Team kiba
Open In TikTok:
Region: QA
Thursday 03 September 2026 21:45:39 GMT
152830
24570
547
386

Music

Download

Comments

user8861737730614
Brian Jux :
I am Ali fan bt hii song Iko chini arudi studio na Bien amfunze 😄
2026-09-04 12:41:02
4
joellboykasaro0
JOELLBOYKASARO :
hakuna kitu apo
2026-09-04 03:39:00
63
jane.sanga08
Jane Sanga :
Ila mond anawafanya watu kitu mbaya sana cheki wanavyo hangaikq kiba na nyimbo za hivi toka lini😂😂😂😂😂😂
2026-09-04 06:27:33
76
stunning.queen17
😍Stunning queen 👑 :
humu tuuuuuu
2026-09-04 03:57:08
35
elishahaty23
Mr Elly :
Team king kwa hapaa
2026-09-03 22:55:43
88
zuluzulu5757
Marcos marcos :
nyimbo.mbovu
2026-09-04 04:34:14
19
user9188263679073
ree :
me niteam yako lakn hii nyimbo sjaipenda mbayaa bhana
2026-09-04 05:22:46
10
reallissu
SIMPLUS TZ MWANZA :
uzuri wa nyimbo ya king inaanzaga kuwanzur siku zinavyo songa
2026-09-04 06:11:39
39
gabrielmasenga9
Gagima :
kila mtu ataimba kama marioo kwa muda wake😅😅🔥
2026-09-04 06:00:26
22
official_mgomb
Mgomba :
kwa style hii sijilamu kumpenda kaka simba japokuwa mi ni yanga
2026-09-04 01:36:08
12
alafayasin
Alafa Yasin :
nyimbo mbayaaa atar🤣🤣🤣😭
2026-09-04 05:23:25
11
kids_empire27
kids Empire🔹 :
king kawaona wanga😅😂🤣🤣🤣@every one
2026-09-04 13:15:43
2
bkhjjhh
@? :
Only one King
2026-09-04 11:04:26
2
lilai050
MWERA THE HOT CAKE🐕 :
me sio shabiki ya Kiba ila ngoma kali
2026-09-04 05:08:52
11
83m52
Fraga boy :
teyali nimeachwa
2026-09-04 02:24:33
1
.bulaya.kendis
bulaya kendis héritier 🇨🇩🇨? :
alikiba One King
2026-09-04 03:42:44
0
dharau786
sio poa :
umeuaaa super king 🤴 alikiba top top your so it's so best in the world 🌎 🎵🎶
2026-09-03 22:27:47
2
farymami
MAMA ISMAIL :
me team kiba ila hapa hapana mhhh mistari mbona sielewi ipoipo tu ilimradi nyimbo imetungwa
2026-09-04 05:22:36
6
christophermazang
Chris :
duuuuh hatariiii hapa bro mashabiki wako umetukosea sana
2026-09-04 06:53:07
7
medx163
Medx✅ :
Hya ikifika like1000 mniite🙏
2026-09-03 22:47:10
28
mkuluma_gang
H Boy Jr :
mi sio shabiki wa Ali kiba ila ii Ngoma nikali 🔥🔥
2026-09-04 04:31:51
13
abubakarrribery
New fashion :
mim ni shabiki wa king kiba kutoka burundi🇧🇮 km kuna wengin kutok home nioneye hapa
2026-09-04 01:31:15
14
_saafir11
Saafir :
Ujumbe umefika king ataoga, kumbe dada wa taifa haogii?
2026-09-04 12:45:25
3
r2wizzy_
R2wizzy Tz :
akuna nyimbo hapa😂
2026-09-04 09:43:25
1
To see more videos from user @teamkiba03, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About