Jana usiku nilikua nje nikawa nataza juu naomba namwambia Mungu upo karibu kuja hivo tuu pembeni ya nyumba yetu Kuna kanisa mara taaa zikawaka na kuzima ndo ishara enyewe,,alafu nikaota naulizwa na ndugu zangu mwisho wa Dunia ni lini nikawaambia subirini nitazame juu Kisha nikaona mwanga mkali pamoja na malaika wa dhahabu mkubwa Kisha nikaona na jicho kubwa sana likinitazama alafu nikawa napata maumivu Kisha ndugu yangu mmoja akanijibu akisema ukitaka kumuona Mwenyewe Mungu lazma upitie maumivu kwanza
2026-09-07 19:35:27
5
@Rachel0852🌹✌️❤️ :
Mimi nimeota tsunami 🌊 kubwa
2026-09-05 05:38:53
6
Glory🦋 :
Mungu atusaidie mimi nioneshwa tsunami mara mbili mwanzoni mwa mwaka huu , mwezi wa nane nikaoneshwa ktk ndoto watu wannataka kusariri safari ya anga lkn kukatokea haliya hewa imebadilika mawinguni yakatanda me nikawaambia hatuwezi kusafiri kwa hali hii gafla nikaona kiumbe kama kipepeo anamacho kila mahali kwenye mwili wake nikaona tena mtu mwingine mzuri anaongea lugha nisiyoielewa sauti yake ilikuwa inatisha akashuka adi pale nilipokuwa akaanza kutembea nyumba kwa nyumba akihubiri injili duniani , juzi pia nikaoneshwa kwa mifano jinsi watu walivyoacha imani na kupenda fedha na vitu vya duniani lkn hali ilibadilika watu wachache wakamrudia Mungu wengine walipuuza . Mungu atusaidie jmn
2026-09-07 00:17:24
9
user5526120498069 :
Yesu ANARUDI, Mimi mara nyingi Mungu ananambia nijiandae anakja kulichua kanisa
2026-09-04 21:43:56
15
soarinaturals :
Mimi namuomba Mungu aninyime vyote lkn atakavyo kuja kuchukua kanisa asiniache , niombe Mtumishi wa Mungu
2026-09-05 19:27:26
14
ney :
kakaang naomba unisaidie na mimi namna ya kurejea nguvu za Mungu ndani yang tena kwa upya nimeshindwa najona mtupu sana
2026-09-07 13:21:35
5
user1761859797272 :
naamini muda wa ziki bwana Yesu atanilinda kwake mimi na familia yangu
2026-09-17 14:41:40
6
Aimerence Christian :
amen amen mungu akutienguvu
2026-09-18 04:29:21
3
ENDOFTIME✝️INJILI YA MWISHO :
Ni muda wa Kumtafuta Mungu kwa moyo wote na sala ya toba yahani matengenezo.✝️
2026-09-05 06:41:36
7
Detha Mziwanda :
Uliyoongea yote ni kweli tupu kaka,mwenye hekima pekee ndiye atakaeelewa.
2026-09-04 07:11:49
10
Martha auto spare parts :
Nikweli,Mungu atusamehe sana tumezidi dhambi sana
2026-09-04 22:20:08
7
Dayana january :
Namuomba Mungu atufanyie wepesii tuwe nauwezo wa kukabiliana nakila jamboo 🙏🙏🙏
2026-09-09 09:00:44
6
#GOLDENHERO# :
Amina sana bwana akubariki
2026-09-28 17:18:56
1
silviagustavo❤️ :
Mimi niliota too much vita na vitu vya ajabu mafuriko yaani taabani ila tulipo omba kwa bidii hali ile ilikoma 🙏
2026-09-04 19:12:27
5
Nyamizi Malegesi :
mfumo wa dunia unalazimishz kila mtu awe na madeni,,hutaki jamii inakutenga!!!duh!
2026-09-04 16:52:05
5
kaserekakikumba :
Naamini 😓
2026-09-16 15:04:32
1
Rby :
Mungu atusaidie
2026-09-16 12:13:58
1
Pendo :
Amina
2026-09-04 16:31:38
1
jaklin :
amen amen amen
2026-09-04 23:05:38
1
Evarist Magalagala :
Mungu atusaidie
2026-09-06 17:28:53
1
Mdendemi Catering :
MUNGU TUJALIE MWISHO MWEMA TUWEZE KUHESABU SIKU
2026-09-26 12:37:04
1
Esther NEEMA :
Amen Mungu aniwezeshe
2026-09-14 04:34:32
0
To see more videos from user @bigdaddy_cashflow, please go to the Tikwm
homepage.