@ihsaantv: ACHA KUSINZIA MSIKILIZE MTUME ANAKUTAHADHARISHA NA WATU WA MAULID! #SHEIKH JUMA ALLY JUMA. #ihsaantv #redioihsaanfm102.1 #ansaarmuslimyouthcentre
sasa swali langu ni hili kama maulid ni bidaha kwa wafanyaji wa maulid basi pia mashindano ya quruani nayo ni bidaha ama maulid maana yake ni nn ama ufahamu ni watu kula ama watu ni kucheza dufu ama watu kusoma quruani ama watu kukusanyika na kumfurahia kumuamin mtume ama kutembeleana ama kutoa nasaha na kumjua mungu ama nn
2026-09-04 06:09:17
3
bazuma :
tusiofanya maulid tumeshajenga hospitali ngapi?
2026-09-05 08:13:03
2
ali :
huyu sheikh jina lake please
2026-09-04 13:52:21
0
TWAYF :
ndugu yangu umenionesha mtu ambaye nmemuona machon mwangu 2016 nikiwa markaz Donge na 2017 mwez wa 3 nkahamia markaz nyingine, hahaha! nilikuwa namkubali akiingia kufundsha lazma mfurah
2026-09-05 08:44:24
0
user45863594758537 :
Allah Akbar
2026-09-05 10:38:31
1
Ahlaam_aljabry :
Ustadh juma 😇😇 mwalim wangu wa shule allah akupe kila la kheri tumejifunza mengi kupitia ww ..allah kareem
2026-09-05 08:11:14
2
Fakih Azzan :
sasaivi kusikiliza ni Bora kuliko kusoma mtihani
2026-09-04 05:53:04
1
abubakarismahir :
Masha Allah
2026-09-04 04:04:56
2
OMARY Kassim :
2026-09-04 10:52:49
2
Abou Sharmalck :
Allah akulinde sheikh wetu umefikisha haki hii darsa iwe sababu ya wewe kupata radhi za Allah
2026-09-04 22:01:12
1
Taufick :
allah akbaru
2026-09-04 15:39:14
0
billionaire.com. :
aaamina
2026-09-04 17:27:27
0
Said kifaranga :
wacha tutachangia Mkutano wa chama
2026-09-04 05:05:48
0
💨Arteta dhahiri💨 :
Allah akbar
2026-09-05 05:10:06
0
Dongosinyo :
Allah akuhifadhi sheikh
2026-09-04 16:32:10
0
user4975843189489 :
nakumbuka darsa zako makorora spitali msikiti wa Yatima. mwalimu wangu wa mwanzo kunifungua kuhusu sunna
2026-09-04 20:50:56
0
mr shot :
mashaallah
2026-09-04 14:15:07
0
Rajabu Pwete :
kweli tupu japo awataki kukubali ila ukweli usemwe tu jazaka llah kheyrii
2026-09-04 05:17:30
5
Magogo 🇹🇿 마고고🇰🇷 :
Mashallah
2026-09-04 13:10:05
0
ummu murshid :
Allah atujalie tulijue kundi iltakalo India peponi Amiin
2026-09-04 07:00:58
0
yussufbuli :
subhana Allah
2026-09-04 13:33:58
0
shafii :
swadakta
2026-09-04 06:58:06
0
Faiz mbaruk :
swadakta sheikh
2026-09-04 14:53:12
0
NEGASAKI :
tatizo sasahivi tuko bize usikiliza shekhe kasema kuliko kusoma misioni Bida kusoma maulidi bidha katika dini ni kuongeza kitu katka mambo ya farazi au kupunguza katika mambo ya fazazi
2026-09-04 05:50:21
0
To see more videos from user @ihsaantv, please go to the Tikwm
homepage.