@insideoutz__: 🔥 KUTOKA SINGLE FATHER HADI KUPATA “MKE WA SHOKA”: SAFARI YA MAPENZI YA JAKAYA KIKWETE NA MAMA SALMA ❤️ Nyuma ya tabasamu na haiba ya Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuna simulizi ya maisha ambayo wengi huenda hawaijui. Miaka ya 1980, Kikwete alimpoteza mke wake wa kwanza. Badala ya kukimbilia kuanza maisha mapya, alichagua kubaki Single Father, akiwalea watoto wake mwenyewe huku akiendelea na majukumu yake ya serikali. Lakini maisha yalikuwa bado yana ukurasa mwingine. Safari hiyo ilibadilika alipokutana na Mama Salma Kikwete huko Nachingwea. Kutoka hapo, Salma hakuja tu kuwa mke wa Kikwete, bali akawa sehemu muhimu ya familia na maisha yake. Leo, baada ya zaidi ya miaka 30 ya ndoa, safari yao imeacha somo kubwa kuhusu maisha ya pamoja. Wewe umevutiwa zaidi na sehemu gani ya safari hii ya Mzee Kikwete ? 👇🏾❤️ 🎥 By @salamajabir #JakayaKikwete #MamaSalma #MaleziNaMaisha #YahStoneTown #insideoutz
INSIDEOUT TANZANIA
Region: TZ
Friday 04 September 2026 04:21:18 GMT
Music
Download
Comments
Dlameny99 Stefler :
jamaa huyu ndo tatzo kwenye nchi yetu
2026-09-04 06:20:16
61
Mr Transpoter4 :
Mi sio mtu wasiasa ila Jakaya ndio Rais wangu pendwa kuwai tokea hii nchi
2026-09-04 09:38:34
53
Engineer Al-alawiy🌆 :
Ata kama hachekeshi jabir lazma acheke 🤣😂
2026-09-04 07:31:52
21
Asakeezo The Superstar :
Mademu bana hadi Rais
2026-09-04 11:29:48
11
jumo harder :
always he is looking smart
2026-09-04 12:30:42
3
judithmollel0 :
Leo ndo najua kumbe kna Ridhiwan wana mama yao mm nlkuwa najuaga n huyu huyu🥰🥰
2026-09-04 14:15:29
10
chid 410 :
Huyu raisi bora wa nchi hiii kutoka nchi imeumbwa
2026-09-04 09:48:56
13
flr :
wow wow
2026-09-04 20:15:12
0
Mo :
Hiyo technique ya Mzazi nimeipenda
2026-09-04 07:00:43
8
Hasheem Beimoja :
uyu jamaa mtu poa sana kuwai kutokea serekalini
2026-09-04 11:17:41
5
sharifa :
story mzuri
2026-09-04 17:20:12
1
denisjrminja :
Jakaya Mrisho Alfani Kikwete rais kijana 💪✌️
2026-09-04 05:37:43
9
LAKAIRO JR🍂 :
msidharau wanachuo jamn c mnaona watu wanaoana😇😇😇
2026-09-04 05:58:16
12
husna :
kiongozi naomba kuonana na wewe
2026-09-04 09:38:52
1
Bushoke :
hahahaha 🥰🥰🥰
2026-09-04 06:01:25
5
Kelvin Sanga :
dah!! raisi kikwete alikuwa mtu wa utani sana na mcheshi...alafu anafikika kirahisi nakumbuka hotuba yake ya kila mwisho wa mwezi....
2026-09-04 06:02:58
17
Shellnisestarsky :
Una ona m2 akikupenda yeye ndio ana kutafuta kwa hali na mali😁
2026-09-04 11:13:27
8
Mendy :
kwen airuhusiw kurudishwa madarakan jamaniii maana kikwete ni mtu Bora sana
2026-09-04 18:48:27
0
Yaumu Juma :
💚💚💚💚💚
2026-09-04 09:59:10
1
Shaleen :
Mabint si mmeskia mwanaume akikupenda atakutafuta bila kukata tamaa haya Muache kufosi mambo wanetu😄
2026-09-04 12:25:54
4
dr deograsious :
raising nmpendae kuliko wote mtu wa maana sana huyu
2026-09-04 11:39:54
3
user4265312935694 :
maswali ya salama had kwa raisi😅😅😅
2026-09-04 09:12:54
3
jly,🏔️❄️ :
hata Mimi baba aliwahi kunifanyia surprise ya hivyo.
2026-09-04 18:45:29
2
salish honey :
babu yangu mie😍
2026-09-04 11:07:19
2
To see more videos from user @insideoutz__, please go to the Tikwm
homepage.