@watuwabaskali: Watu wa Baskeli 🚴♂️ Njia rahisi na nzuri ya kuweka urefu sahihi wa kiti (saddle) cha baskeli yako: 📏 Pima urefu wa mguu wako 🦵 kwa sentimita (cm), kisha zidisha kwa 0.885. Jibu utakalo pata ndilo litakalokusaidia kuweka urefu sahihi wa saddle kwenye baskeli yako. 🎥 Tazama video hii ili kupata maelezo na kuona jinsi ya kufanya. Asante sana kwa support! 🙏 Rafiki yako, Beto