@gerver.pharmacy.t: Ovulation ni pale ambapo yai lililokomaa linatoka kwenye ovari na kuwa tayari kurutubishwa. Sasa kuna dawa ambazo hutumika kuchochea ovulation, mfano Clomiphene. Tatizo ni kwamba, baadhi ya wanawake wanatumia dawa hizi kwa lengo la kupata mimba bila kwanza kujua kama kweli tatizo lao ni kutoku-ovulate. Na hapa ndipo tunahitaji kuwa makini. Kwa sababu kuchochea ovulation ni kusaidia hatua moja tu katika mchakato wa kupata ujauzito. Haimaanishi kwamba mimba itapatikana moja kwa moja. Kwa hiyo, usitumie dawa ya kuchochea ovulation kwa sababu tu umeambiwa “hii ni dawa ya kupata mtoto.” Kwanza jua inafanya nini, umepewa kwa sababu gani, na kama kweli inakufaa. Pharm. Oliver #pharmacytiktok #viraltiktok #ujauzito #pharmacist

Gerver pharmacy Talks
Gerver pharmacy Talks
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 04:44:54 GMT
17242
422
24
32

Music

Download

Comments

felister136
Felister :
Nmekuelewa maana nlikunywa had nkachoka
2026-09-04 10:35:53
3
achalugo_299
HEAVEN_FRAGRANCE :
Sasa doctor km hata hio period haipatikani hapo unatumia dawa gani?
2026-09-04 10:14:32
1
user251adrian
official monie ♌✨ :
madam mi naomba unisaidie niweze kupata period
2026-09-04 10:39:55
2
user197366254081
🌹wemaa❣️ :
Mimi sion Ute wa uzaz nitumie ip dada
2026-09-04 18:09:40
0
jmamy23
Mamy j :
zungumzia letrozole ndugu
2026-09-04 09:28:15
0
aisha_tem
aishatemu77 :
naombaaa namba yako madame😭😭😭
2026-09-04 15:00:59
1
dapretty03
brandy 🥰🥰🥰 :
jaman m natak nkapime mfumo wa uzazi naomb mnisaidie jina la hospitali nzuri kwa hvyo vipimo
2026-09-04 14:37:44
1
elvrallyn
elvra llyn :
docta nimeona unakitu mi nlitumia duphaston na sijapata ujauzito
2026-09-04 11:21:49
0
babyqeen63
lizzy :
mamy nisaidie mm nipate mimba jaman
2026-09-04 14:26:31
0
julieth7797
Aminaa :
namba yako
2026-09-04 14:26:16
0
udah2461
udah 👑 beauty collection🛍️ :
vip kuhusu hormones imbalance?
2026-09-04 11:00:40
0
salma92458
salma@ :
🔥 🔥 🔥 🔥
2026-09-04 07:16:34
1
officialmarga5
Miss Maggie 🥰 :
🙏🙏
2026-09-04 05:25:55
1
To see more videos from user @gerver.pharmacy.t, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About