@vyakulanatiba: #fyp #health #foryou #acidreflux #life

VYAKULA_NA_TIBA
VYAKULA_NA_TIBA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 05:20:04 GMT
32473
760
31
100

Music

Download

Comments

gracehaule5
Grace😍 :
kwakweli Bora uyu wengine yani wanatuogopesha kabisa unaogopa hadi kula ugali
2026-09-04 11:44:08
4
user8073385980322
irene :
je ukiwa Una acid reflux unaruhusiw kula chipsi mayai labda mala Moja hata kwa mwezi au haiwezekan kabisa
2026-09-04 17:28:58
1
eveline3184
eveline :
mbn wanasena parachichi halifai saabu linamafuta mengi sana ???
2026-09-05 19:18:44
0
fatmah.kemal
fatmah kemal🌷🌷 :
yaan hyo acid uiskie tu kwa mwenzio omba isikukute bora uumwe U.T.i.I sugu utatumia dawa utapona lakini sio acid jamani ache ni kabisa
2026-09-06 12:21:38
0
venance.kahimba
Veny :
chapati maandazi ubwabwa ugali vitumbua viazi vitamu sijuwi nile nini
2026-09-05 14:58:55
0
didachidi
Cammy :
kote nishawahi kujifunza ila kwenye maji leo umenipa somo jipya kumbe kuna Ph flani🙏
2026-09-04 22:02:14
0
bbyaggy1
babeagy ♍️ :
mm inanitesaa naon kam kifua kina pasuk
2026-09-06 13:42:43
0
finadanielfinadan
lady fina :
mm nina ugomvi na cabbage sijui nifanyeje tuwe marafiki na cabbage 😋 😍 👌
2026-09-05 16:49:56
0
user8723196538496
45 :
nisidieni dawa ya madondakoo maan nmetumia dawa zahospital ila haviponi
2026-09-05 15:17:35
0
shafiikauli
shafii :
nimekuelewa doctor hilo tatizo ninalo
2026-09-04 15:04:35
0
saumu_m
ummy_athman :
Asante Sana 🙏
2026-09-04 17:59:23
0
mcutehbet
mcutehney :
alikani ndio nn
2026-09-04 19:23:22
0
jeniphar.brown
Jeniphar Brown :
asanteee
2026-09-04 16:13:10
0
gwasellya
Ghwa ntukuju :
Hapo kwenye maji ndiyo nachemka, mimi busy na Ph 7.0 😂
2026-09-04 14:09:20
0
user9005639198186
THE HUNTER OFFICIAL :
tiba ikowapi
2026-09-04 16:35:58
0
user8841991590068
user8841991590068 :
ndio wewe nimekusikia unasema tupunguze wanga wengine wanatushauri eti tuache, Asante kwa mama aliekuzaa wewe ni Bora zaidi
2026-09-04 09:22:12
2
oisso86
oisso :
kiporo
2026-09-05 12:14:59
1
user4186177245948
user4186177245948 :
kweli kweli kaka na kiazi kitamu ni fasta unabata majibu
2026-09-04 19:16:02
0
kidssalon5
mommyandme moments :
I just ate dagaaa usiku huu na ninajua kabisaaa no tabu now am 🙌🏽🙌🏽
2026-09-05 20:28:37
0
To see more videos from user @vyakulanatiba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About