@pengo_makeke: UNAFANYAJE FANYAJE MKALIMU😊

Pengo_makeke
Pengo_makeke
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 05:55:05 GMT
175939
20102
676
336

Music

Download

Comments

user6811498703831
ayman lashford :
mipila ilio kufa vitu vyangu kabisa ivo
2026-09-04 10:27:34
256
depu.negra29
『DΛV』 :
ni january up to december
2026-09-14 23:16:20
0
patyjayemail.com
[email protected] :
[Heartwarming][Heartwarming]kaisha bibaya mno miez tatut
2026-09-14 13:23:30
0
grapaul06
MaKho.. :
Naitwa maghembe ni muuzaji maarufu wa mahardware
2026-09-04 12:49:25
95
khalil28maege
khalil 🦺 :
JAMANI hii nchi hatujawah kupumzik tangu October 29🤣🤣🤣 mara Wema kajifungua, punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa. Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika, Dotto analet vipimo kutoka Zanzibar, mara kuna mtu katoka kigoma na baiskeli mpaka kawe kwa mwamposa, mara police wamechukua simu ya pipytida mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangusha mchawi huko Arusha alikuwa anatoka bariadi kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo sijakaa vzur kuna free juma jux🤣🤣🤣 cjakunywa ata chai maua sama ni kajifungua😅
2026-09-04 06:57:41
60
trebor_rs
trebor_rs :
Hao ndo ninaowataka.. hawezi kuchukia huyo 😅😅😅
2026-09-04 06:20:52
78
djcofmo
MR COFMO💠 :
HAO NDO NAOWATAKA, NAJUA HAWEZI KUCHUKIA
2026-09-04 11:51:24
62
gwenoboy
gweno boy :
ameisha
2026-09-04 09:13:23
5
mrjobless010
Mr jobless :
Je ssss,,je sssss 😁😁😁
2026-09-05 10:55:23
6
ibrahimu.fredrick3
ibrahimu Fredrick :
😄😄😄😄😄 yaaani kama najiona navyo mwambia akae hata miezi, an duuuh 😁🙏 acha niishi kuona clip tu
2026-09-04 09:44:39
24
epicprimegroup
Will_KiD27 :
Sure..
2026-09-04 09:26:49
7
user2081049304670
Junior 38g :
Umesema umetoka wapi dada@
2026-09-04 07:53:49
14
user6596717800618
Inspector tiddy :
Hapo nampigia Jerome namwambia " Jerome nipo kwenye Amri hapa😁
2026-09-04 06:16:32
11
chakupewa_07
MR CHAKUPEWA_07🇹🇿 :
ndio nimetoka kupokea mkopo wangu bank je malejesho talejesha vipi kwanini kila siku Mimi tu
2026-09-04 06:30:04
9
menady2
Menady :
Kuna mtu leo ameomba Mungu ampe hata kidogo tu, lakini mpaka sasa hajui kesho itakuwaje. Ana mahitaji mengi kuliko uwezo wake. Mungu akukumbuke leo. Akufungulie mlango wa riziki ambao utakufanya ulie kwa furaha baada ya muda mrefu wa kulia kwa shida. ❤️🙏
2026-09-06 00:05:26
11
kitengo471
kitengo 457 :
mkeeeeeeeeeeeeh
2026-09-04 11:20:47
5
user5120026904144
ctv.bm tz :
je siiih je siiih 🤣🤣🤣🤣
2026-09-04 09:45:31
6
user6714065184884
user6714065184884 :
mwaka najua hawawez kuchukia waaach mamb
2026-09-04 07:12:27
8
jeremymwita3
jeremiah mwita :
siwezi kusema sana vitendo vitafanya niongee😁
2026-09-09 08:50:51
2
andrewjrmnyama
andrewjr :
KAISHA HUYOO 😁😁😁😁
2026-09-04 09:01:13
4
oscar.shayo6
Oscar shayo :
mwezi 🤣🤣 haumjapenda🤣🤣🤣
2026-09-04 07:24:33
2
jamesaveline218
Jamêx kng :
ndoaaaa
2026-09-07 11:29:52
1
user9709798781872
Abuu tz 🇹🇿 :
unaruka nae kabisa
2026-09-04 08:16:47
1
To see more videos from user @pengo_makeke, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About