@jamesatilio: Kama ungejua kwa 100% kwamba huwezi kushindwa, ungejaribu kutimiza ndoto gani? Usiache hofu ya kushindwa ikufanye uishi maisha madogo kuliko uwezo wako. Ndoto yako ni kubwa kwa sababu ndani yako kuna uwezo wa kuifikia. Umaweze kujifunza zaidi somo hili kupitia YouTube channel yangu James Atilio Lakini pia Unakujifunza zaidi kupitia ebooks zangu za maendeleo binafsi, fedha na kujitambua 0759 551 270 INAWEZEKANA. #INAWEZEKANA #JengaMaishaYako #UsikateTamaa #JamesAtilio #2040
James Atilio
Region: TZ
Friday 04 September 2026 05:57:31 GMT
Music
Download
Comments
陈关系 Chen-guanxi :
i don't know where you live i wish i could make learning tour four you👍
2026-09-05 04:10:53
1
wandangiserious :
thanks brother see you at the top
2026-09-04 08:36:23
2
Robert CEO😎 :
yua so parferct brooo
2026-09-21 17:06:04
1
SAAL GROUP LIMITED :
nc broo
2026-09-04 06:42:09
2
David shukuru :
nikweli kabisa brother nakupata tano kwa tano nikiwa south africa 🇿🇦 kutoka DRC congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2026-09-04 18:07:22
2
CHIZA RICHARD RUTURAGALA :
Sawa somo zuri umetoa
2026-09-04 14:25:16
1
king of queens :
nakubali broo
2026-09-06 17:42:10
1
josechandika :
kaz yako n nzur
2026-09-19 19:15:23
1
PS47 :
maneno mazito mno🙏
2026-09-06 19:20:15
2
user8200150703909 :
nikwel
2026-09-04 17:01:58
1
user8302108209757Wanjez :
ningependa kua mkulima mkubwa wa Malindi,maharage Na sukuma
2026-09-07 14:54:18
1
john@123 :
nice
2026-09-04 07:27:57
1
medylakrome :
mku
2026-09-14 11:11:13
1
faraja kibona :
nashukuru sanaa kaka nimekuelewa mnoooo,nipo tayari kuchukua hatua
2026-09-04 09:04:01
2
Rashid Dotto :
mhhh sn kk
2026-09-23 14:13:01
0
lusajo mwamkinga :
kua mfanya bishala mkuu
2026-09-06 18:27:10
1
capable girl Tz$$ :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-04 19:04:23
2
motphissan :
[Like]
2026-09-11 07:30:36
1
@misslyne🎼🤑 :
❤️❤️
2026-09-04 06:50:41
2
Abdu Pac :
🧠
2026-09-12 19:54:09
1
James :
👍👍👍
2026-09-05 11:19:52
1
P :
💯
2026-09-04 14:35:11
0
To see more videos from user @jamesatilio, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.