@dearcute47: I will never do that shit 😏,atakae niamini ataniamin atakae nipenda atanipenda na atakae ondoka aondoke , wakhat mwingine hustaili kumweleza Kila mtu uhalisia wa maisha yako kwasababu wengine sio marafiki au watu Wako wa karibu kama unavyozani wengi wao ni wapelelezi wa maisha yako ,means aone wapi umekosea,wapi umeumia ili iwe furaha yake ,my dear friend no time to waste kwa kuendelea kuomba au kulazimisha watu kubaki na sisi ,kuwa mwenye uwezo wa kusimama wewe kama wewe maana tofauti na mzazi wako hakuna mtu mwingine ambae anaweza kuwa perfect kwako always so people change try to prepare your self for everything life is not easy struggle for your self no matter what you pass through #fypシ゚viral #ppppppppppppppppppppppp