@muaydi3655678: So sad🥹🥹

muayd🧸💜
muayd🧸💜
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 06:04:58 GMT
28923
1519
60
136

Music

Download

Comments

soreyn07
Sorey'n love :
luqman baba popote ulipo usije ukafanya upuuz huu mdg wang mana mama ndio Pepo yetu na Ndo tegemeo letu🥺🥺🥺
2026-09-04 14:42:06
14
aminakhamisi940
MRS SAHIL❤️‍🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Yarabi nilinde nisiwe na mdomo mchafu kwa mumewangu inshaallah
2026-09-04 06:30:39
17
antzmhmed
Antz Mhmed :
hapo kumsaidia mama wa mume kakosea sio vizuri ila muda mwengine mama wa mume wanamatatizo sana kuishi na mke wa mwanawe kwa wema hawawezi shida ndio inaanzia hapo
2026-09-04 07:08:29
9
flying.eagle3
Flying Eagle :
ai au story tu
2026-09-04 15:03:46
0
user8342116113619
0mar bare :
story time very good job
2026-09-04 11:35:24
2
bakarsaid563
Bakar Said :
mung mlinde mam yang na wa wenzang
2026-09-05 11:00:46
2
saidmazrui7
user3778004628153 :
subhan Allah
2026-09-05 16:01:11
0
bakarimwatambweh
Bakari Mwatambweh :
hakuna kitu kama iyo
2026-09-04 15:06:01
4
bint_gaddaff
bint_gaddaff :
subhanallah
2026-09-07 04:18:39
0
shadia.khalfani6
shadia khalfani :
Acha. kabisa mm yamenilkuta
2026-09-05 22:26:53
0
arsene.makonga6
Arsene Makonga :
aminii asante kwa dua yako mungu ataipokea kwa ajiri ya mama zetu
2026-09-05 12:41:28
0
user6129279800203
@panayo 40 :
dad ang yamenikuta hay
2026-09-07 04:21:18
0
said.juma68
Truth is bitter :
Ukiachilia mbali suala la Mama ambalo mimi kwangu ni red line,kauli juu ya mtoto wala sihitaji kujiuliza mbali mbili,iwe ni masihara au kweli hawezi kuwa na mimi tena.
2026-09-06 05:34:18
1
safiaothman2
safiaothman788 :
Mwendelezo please.
2026-09-05 15:17:11
0
salim.mahsen
Salim Mahsen :
A A
2026-09-04 08:47:09
1
sefu2182
prédicateur.Saifu..utmani♥️ :
Allah Akbar 😭
2026-09-07 08:27:44
0
thausule
thau :
mm hata iweje hata mkwe wangu anikosea VP swez kugombanisha na mwanawe mama ni hatakama hajakuzaa
2026-09-11 06:46:12
0
maria.jonh14
maria Jonh :
2026-09-04 06:10:59
0
user4882859660031
Aisha Jm :
Mmmmh
2026-09-05 11:17:30
0
nazreyah4
Nazreyah :
Uzuri malipo ni hapahapa duniani.
2026-09-05 07:41:46
0
richngowi
RICHARD NGOWI :
Ukweli mtupu
2026-09-17 08:37:36
0
humaid7381
humaid :
hatr San
2026-09-27 11:56:10
0
aisha.yusuph11
Aisha Yusuph :
next
2026-09-05 08:34:25
0
ilu_lady05
ILU_LADY05 :
SubhanaAllah
2026-09-05 10:49:59
0
alharamain066
zaahid :
mtihani
2026-09-04 09:12:19
0
To see more videos from user @muaydi3655678, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About