@musichabaritz: uende japo itaniuma Dear 💔. Follow @loynizer_Kaliua kwaajili ya updates zaidi. #lovesong #viralvideo #wasafitv #tanzaniantiktok🇹🇿

MUSIC HABARI TZ
MUSIC HABARI TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 06:22:43 GMT
621914
58414
579
883

Music

Download

Comments

rey57419
MBENA OG ❤️ :
kama kajala analia mm nani nisilie
2026-09-04 16:39:26
188
user81148354769111
user81148354769111 :
ta melhor esse by harmonize
2026-09-06 23:08:54
1
emmanuelkisinda17
emmanuelkisinda17 :
pole kajala
2026-09-04 22:36:46
0
user39956911113330
Christine🥰🥰 :
team strong tulisema heartbreak ni siku mbili kesho unaoga unarudi soko confidently
2026-09-05 05:22:32
39
mwanasultan201
Mwana Sultan :
kwanza mm kabra cjaachwa namuacha yy
2026-09-04 14:29:46
36
dazizah1
zizah🎀💕 :
Happy birthday to me🎂
2026-09-07 21:52:11
6
josphatkim3
Kimmy :
kupenda sana ni matumizi mabaya ya moyo
2026-09-05 12:16:47
33
nathaa226
Hillu Naah 🫂💋♥️🥰 :
uzuri nikiona unatak kuniacha I swear nitakubembeleza na msamaha nitaomba 😂😂😂😂 the moment unacome back allloh utahadithia na hapo ujue sirudi kabisa 😂😂😂😂😂
2026-09-05 05:47:06
9
juvy.bless
CHUSE Boi ✅ :
wanao sema ni AI tu like hapa
2026-09-05 14:26:19
19
kimsjibu
𝓡𝓔𝓐𝓛 🏋 :
𝒏𝒂𝒐𝒎𝒃𝒂 𝒎𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒌𝒖 𝒃𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊 𝒘𝒆𝒘𝒆 𝒖𝒏𝒂𝒆 𝒔𝒐𝒎𝒂 𝒊𝒚𝒊 𝒄𝒐𝒎𝒎𝒆𝒏𝒕𝒊 𝒂𝒎𝒆𝒏
2026-09-05 12:56:43
6
lizygody0
Lizy Gody :
mbn mm cjawahi kuumizwa na mapenz jmn..au kuna kitu bdo cjakijua🤣
2026-09-10 10:35:01
4
madam8632
Leyla :
hivi dada unalia kwel du ila mapenz nyoko nikwambie kitu ukishajua wanaume ni watu wa aina ngan hata hawakupi shida kwanza wanafiki pili muda wote anakungeuka au kukupinga tukio kwahyo kama yupo moyon muombe mungu amtoe moyon mwako mim mme wangu alinipinga matukio nikaomba mungu nimtoe moyon kweli alitoka saiz namuona kama jilani yangu tu yani sijapenda kukuona hivo ukiwa unalia ukitaka kuishi kwa amani mtoe moyoni muweke mgongoni ili akizingua umushushe asepe anakotaka kwenda vitu alivo kufanyia visikufanye ujione huna thamani nikwambie kitu siku zote jua kuwa ww ni wathamani san♥️♥️♥️
2026-09-05 21:03:19
8
mpondaela
Mponda pesa :
wimbo huu unaitwaje
2026-09-04 17:50:04
5
djsfamily3
djsfamily :
Kajala mbona wewe ni mrembo sana shida nini
2026-09-05 08:12:14
8
fau.zan254
Fau🎀🥰 :
mkae niwape story yangu ilikuaje😂😂 ebu nipigieni makofi kwanza
2026-09-05 11:25:25
1
alvellaniyongabir
alvella :
mapenzi kirio
2026-09-05 08:18:06
0
sallydimpoz
Sallydimpoz :
pole kajala wangu nami napitia kama yako unaemwitaji unajua nae amemaliza kuangaika kama Mimi kumbe bado anajiona kijana wa 2000
2026-09-04 10:19:05
8
charesisitta
charesi sitta :
pole njoo huk
2026-09-13 03:57:45
1
sylan57
jeannifermakundi :
Kajala anampenda sana Rajabu ila Rajabu bado anaupotezeq upendo wa Kajala, inauma, ila Rajabu kua sasa basi Mrudiane jamani napenda nione Harusi yetu nawapenda sana sana🙏🙏🙏🥰🥰🥰
2026-09-05 10:29:27
5
kassim.khalaid
Kassim Khalaid :
kajala wacha kuchizika na mapenzi plz
2026-09-04 13:37:01
5
newlifeinchrist3
super lady :
daaaa Mungu atulizee moyo wakoo maana sisi tumeshindwaa dada
2026-09-12 16:27:17
0
gchristina.elias
gChristina Elias :
huu wimbo ameimba nani jamani mnisaidie jina
2026-09-09 12:36:35
0
user9795745018321
empress Robbys bae :
akuna kitu humaa kaka kupenda mtu akupendi,,😭😭
2026-09-05 00:32:05
2
user72827423858354
Jackson anjelo makasi :
maskini kwenye mausiano wanasumbuwa sana wakiwa wana vijiseti 2
2026-09-05 11:08:27
1
user1516505660327
SAMWELY EVA THE BG BOSS :
unaitwaje
2026-09-08 11:01:27
0
To see more videos from user @musichabaritz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About