dukuduku ni jambo ambalo lina kukwaza au linalokukera
2026-09-04 06:33:15
3
pharm lastborn :
Dukuduku = swali gumu, kitendawili, fumbo, au kitu kinachokufanya ubongo ufunguke na kufikiria sana.
Ni kama "riddle" au "tricky question" kwa Kiingereza.
Matumizi
1. *Shuleni*: Mwalimu anapokupa "dukuduku la hesabu" = swali gumu la math
2026-09-05 09:17:31
2
Pendo John85 :
kitu ambacho huwezi kukifikisha kwa mhusika direct
2026-09-05 10:37:37
1
user Aminaa girl :
Dukuduku nijambo ambalo lipo moyoni unatamani kumwambia mtu unashindwa
2026-09-04 19:21:19
3
naomy23 :
ni jambo la moyon ambalo unataman unataman kulisema
2026-09-04 19:30:47
1
Cathe❤️🦋 :
tumuulize chatGPT nd mkombozi wetu my dear🤣🤣🤣
2026-09-04 09:40:32
1
official Mushi smart :
mwite da pipy aje akuelezee😁
2026-09-04 07:22:59
1
Mchaga Smart :
2026-09-05 17:08:49
1
Miryuh 14 :
mengine yakupiteeeeh kaka
2026-09-04 22:22:57
0
Mamy Business :
namimi nifafanulie mwimbo wako siuelewi kabisa naona unaimba hata moja sina