@mchaleluya: 🥹💔 Dakika Ambayo Mariam Anasema John Ndiye Ninayeenda Naye…’ Machozi Yanasema Yale Mdomo Umeshindwa. 😭❤️.! *Check Yote Inst/TikTok @mchaleluya*🎤

haleluya ngao
haleluya ngao
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 06:37:57 GMT
101614
4856
305
196

Music

Download

Comments

sylvia.ndimbo
Sylvia Ndimbo :
DADA UMEJUA KUNILIZA JMN.
2026-09-04 09:29:43
32
miriamsimon458
Miriam Simon :
najiunganisha na hizi baraka
2026-09-04 08:35:21
79
user7981914943659
Helena :
Kinachomliza?
2026-09-04 08:23:43
17
rosina.kasembi3
Rosina Kasembi :
why im i crying
2026-09-04 19:43:05
0
nasmajerry
NAH💗 BABY :
sijui nalia nini eee mwenyezi MUNGU nilindie mama yangu nampenda sana
2026-09-04 08:08:03
58
aisha.tem7
Aisha Tem :
Binti kafanana na Baba yake sana mungu akulinde kipenz
2026-09-04 09:08:48
34
paulina_beautysaloon
Paulinabeauty_centre :
yaani nalia huku nacheka jamani nini lakini
2026-09-04 09:48:17
20
kapendezo22
mamake tajiri :
very emotional
2026-09-04 17:06:51
0
enock1560gmail.com
user123456789 :
congratulations 🎉👏🎉 dada.
2026-09-04 18:52:31
0
leah31552
🇺🇬Miss♦️Leah✅🇹🇿 :
tulio Lia na atujui tunalia nin tujuan 🙏😭😭
2026-09-04 17:58:52
17
peaceegal5
peaceegal💖💖 :
who cried like me🥲
2026-09-04 19:11:33
0
jay.polishy
jay polishy :
daa dad mpka umeniliza
2026-09-04 08:35:16
1
mag45372
MaG :
We dada weee🥺
2026-09-04 08:02:42
0
martha.sammy8
Martha Sammy :
Nani amelia kwenye WIFI ya bure Kama Mimi 🥺🥺
2026-09-04 17:27:59
6
neemangulo940
neema gelard :
kuwaaaga wazazi so jambo la kawaida kwahyo ameongea maneno mazito na mazuri MUNGU awatunze sana
2026-09-04 08:27:39
28
user1829111917753
Jayden :
alafu John usije ukamwacha dada etu tunaombaa 😊😌🥲
2026-09-04 08:44:04
7
rinnah.baby8
Rinnah baby❤️❤️ :
Najiungamanisha nahizii baraka
2026-09-04 08:23:38
6
helokhamus
helokhamus :
my nimeliia japokuwa ni jambo jema ila huwa inaumaga si utani
2026-09-04 08:44:20
7
qngle3
official angel :
dada mungu akutangulie kwenye ndoa yako umefanya nimelia
2026-09-04 08:26:13
8
happinessshaban66
Happiness Shaban :
baba anataka kulia daah lakn nataman siku yangu ikifika baba yangu awepo lakn kasha tangulia mbele za hak😭😭😭😭
2026-09-04 18:50:34
0
user2415306624066
happy :
Bakiza tu machozi yanaweza yakatumika siku za usoni
2026-09-04 20:01:56
0
user6hs48sxoxo
Calvin Charles :
mdg wakee
2026-09-04 13:11:58
0
user837085955692
Jackline :
Baba angu hataamini siku nikiongea ivii 😂😂😂
2026-09-04 15:06:03
3
user45729949206
elizabeth :
mambo gan tunaaza kulia kabla ya chai jaman
2026-09-04 08:32:27
4
To see more videos from user @mchaleluya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About