Eeh yan mtu kama snapchat ana post almost kila kitu ad ukija kuon movie unahis kama unaijua😫
2026-09-04 18:43:15
27
-nessie@ :
Auntie unanogesha sana kipindi 🥰🥰🥰
2026-09-04 19:02:19
20
🏆Rozy :
kweli Aunt umesema point
2026-09-04 17:42:53
44
Theylo💞 :
Ila watu wa kombolela wamebeba uhalisia jmn😊
2026-09-04 19:14:09
9
Vaki Perfumes :
kakosekana wema kwa familia hii😁
2026-09-04 20:13:37
2
MASHALLAH ♥️ :
aunt unaongea pwent jaman 🙌🙌🙌🙌🔥
2026-09-04 21:34:08
1
Vee_19 💥 :
ukija mapema unafaa kusema nini?
2026-09-04 17:45:28
4
Mj.Mwa :
Apart from showbiz and businesses.
What do they do to empower young generations I'm sure they have role models.
2026-09-04 19:45:25
1
Mr's Only@ official 🤩 :
I love you
2026-09-04 17:59:53
5
it's me💋 :
mbn tabata 😂 tumewakosea nn sis😂
2026-09-04 19:27:07
0
karim :
Miss bongo👏👏👏
2026-09-04 19:08:34
0
lolo :
Aunt me napenda tu🥰🥰
2026-09-04 19:11:57
3
genhviva💍🦋🦋 :
Sasa tumefanyajee wa tabata😭
2026-09-04 19:23:00
1
camillah :
Anty we ni Binti mrembo sana Masha allah alaf akili yangu Inanambia kati ya nyie ww ni mdgo dukuduku langu anty Ezekiel mecap kila kipind hapana ww mrembo ha0 mademu wakali ww pia mkali mm nishaku0na live zaid ya ziad ww mrembo mno sana una rang nzur sio rangi 2 ww mrembo Anty Ezekiel 🥰
2026-09-04 19:21:54
3
Evelyna Dilunga :
ila nabii tito yupo makin mwenyew😂😂😂😂
2026-09-04 19:33:25
0
Shyner :
yaan hapo Kajala ndo anaonekana mdogo jamani daah
2026-09-04 20:47:53
0
bernakichange01 :
Tupoo apaa wa tabata 😂😂😂
2026-09-04 18:55:14
0
joel blanche 🌹🌹 :
❤️❤️❤️
2026-09-04 17:36:09
0
Belinda😍 :
nawapenda sana
2026-09-04 18:32:04
0
Shirima888 :
kwwn mna ugomvi na sisi watu ws tabata au🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-04 20:42:57
0
Kavira Abigael :
Na wa penda sana tena sana ❤️❤️❤️🥰🥰🥰
2026-09-04 17:40:46
0
Elaura🖤👑 :
😂😂😂aunt🙌🏻🙌🏻🙌🏻💔
2026-09-04 18:41:27
0
unstoppable98 :
fact#
2026-09-04 17:38:04
3
Sali sali :
wolpa amechoka
2026-09-04 19:17:20
2
kf :
wolper bila bleach amenoga🥺
2026-09-04 20:06:17
0
To see more videos from user @dstvtanzania, please go to the Tikwm
homepage.