mbez to Mbagala 170000. mwanza to Daar ni shingap?
2026-09-05 09:33:09
24
A Ibrahim :
Ukaona umfanyie tour 😂
2026-09-04 16:44:16
26
Kimu Suleiman Juma :
kama utani ila kuna watu wameumia kweli
2026-09-04 23:25:17
79
Jackie😊 :
Ila dhambi😂😂😂💔
2026-09-05 10:43:10
13
hijahashim101 :
Nduuuuu shidaaaaaaaa😆😆😆😆😆
2026-09-04 19:43:35
17
yeunicemeena :
Tunacheka ila hiyo ipo sana dar😂 na hapo subiri wengine wakija chuo mwaka wa kwanza ni huzuni🥲
2026-09-05 05:29:44
21
Gideon48 :
mbona nawewe mwenyewe ni msukuma sasa
2026-09-04 20:27:40
25
thomaskilumbi :
wisely
2026-09-05 09:03:48
2
Mbwana400 :
ila hana hasara kwa hiyo tour😅😅
2026-09-05 08:56:01
11
Mr . Hustler :
Iliwahi kunikuta hii Iringa kutoka Mtua kwenda Isele kwa bodaboda jamaa alinipiga elfu tano kanizungusha kinoma sema wahehe niliwalaani toka day one 😂😂
2026-09-05 08:16:40
12
Tinamapochi :
Mimi sasa abiria wa mbande natoa shingapi??😰
2026-09-05 08:54:18
5
Jesca :
maana yake ni kwamba hata kama hajachukua 170,000/ content ni kwamba hapo lazima Kuna wageni wanapigwa Kwa ugeni wao
2026-09-05 11:26:46
8
Kaitecy 🫶✨ :
Ilaah
2026-09-05 08:17:08
6
HIS QUEEN👸 :
daahhh nacheka kama mazuri 😂😂😂😂
2026-09-05 07:26:50
6
Scholar Chaki :
ila wasukuma ni wazuri mno
2026-09-05 05:04:08
6
To see more videos from user @uhuruonline, please go to the Tikwm
homepage.