@stanley_marketing: #uzi51👚 Kimarketing, klabu zote na makampuni ya udhamini (kama SportPesa) sasa hivi zinatakiwa kuwekeza kwenye Corporate Social Responsibility (CSR) na kuwa na unyambulifu (Flexibility). Kama mdhamini ataanzisha mgogoro na mchezaji au shabiki anayeziba nembo kwa sababu za kidini au kimaadili, brand hiyo inaweza kupata backlash kubwa ya PR na kuonekana haueshimu imani za watu, jambo linaloweza kuharibu jina lao zaidi kuliko kile kitendo cha nembo kuzibwa. Njia bora mara zote ni klabu na mdhamini kukubaliana kwa amani kuweka mazingira ya Opt-out kwa wachezaji na kutoa jezi zisizo na mdhamini (Sponsorless Kits) kwa mashabiki wanaohitaji. #yanga #marketing #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
ni sawa lakini kuna issue nimeiona hadi mashabiki nimeona hata kwenye mechi za hapa bongo wanatoa sponsor wanaweka maneno yao wao kama hayo simba au yanga, sababu tutasema ni mambo yakidini na imani zake hapo sikatai,
sasa issue yangu ukiangalia lengo la mzamini ni kupata publicity kupitia hizo jezi hadi kwamashabiki,
sasa tuchukulie waislam na wakristo waseme sisi dini zetu haziruhusu, mzamini atapa wapi sasa faida kama watu hawamtaki mzamini, kwamana saivi naona hadi mashabiki sasa wameanza kutoa wazamini kwenye jezi zao,
kingine japo ni kama wazo nishawahi kuwaza kwanini team zisiwe na special edition kit isiyo na mzamini badala ya watu kubandua kwamaan mimi naona kama kubandua au kuziba kwa plasta haijakaa sawa😀
2026-09-04 09:23:18
1
nicklassfamily :
mbona kwenye mazoezi anavaa
2026-09-04 14:13:18
0
Mambi Jr🏐🥇 :
perfect
2026-09-04 10:28:03
0
GODINHO 😎🤏 :
hizo tunazijua zote
2026-09-04 15:52:58
0
🔮🌺𝐀𝐤𝐞𝐳𝐚_𝐋𝐮𝐧𝐚🌺🔮 :
jamani jezi ni kali uuuwiiiiiii🙂↕️🙂↕️🙂↕️🙂↕️🙂↕️🙂↕️
2026-09-04 11:56:27
0
mselem :
me nimeipenda jezii tu majilani wanatesekaa sanaaaaa
2026-09-04 14:37:23
0
Jake Nyax :
Hii fanya research yako vizuri, kuna wachezaji wengi tu u18 walivaa betting jersey nakutolea mfano kidogo tu wa epl, Mateus Mane wa Wolves na Bradley Burrowers wa Aston villa walivaa jezi ya betting na walikua 17 yrs old last season ligi ilipoanza
2026-09-04 13:18:13
0
PROTAS PRINTS :
NENDA BARCELONA UONE🤣
2026-09-04 13:17:26
0
DAVVY DELLY~90 :
aaa kumbe
2026-09-04 10:26:34
0
Kidebuye@ :
Kwa issue za influencer wetu waongo kwasababu wanavaa jezi za timu zingine za ligi za ulaya na hawatoi logo za hizo beti kwasababu timu nyingi ulaya zina uzamini wa betting campany lakini wanavaa na hawatoi logo
2026-09-04 12:33:06
0
SINA SHOBO :
achana na mambo ya kubet angalia hiyo jezi
2026-09-04 10:32:56
1
lee04 :
na awa wa yang umri wao sidhan Kam wako chin ya 18 apo maan Kam Abdul nasr aah si kweli wametupga apo
2026-09-04 12:34:56
0
L E S S A N D R O ✊️ :
ila hapo kaka kwenye hoja ya mwisho kwa mpira wa ulaya haifanyi kazi maana UEFA hairuhusu mchezaji kuwa na mkataba personal na kampuni za kubet ili kuepuka mambo ya kupanga matokeo..utanirekebisha kama nimekosea kaka🙏
Cc.@stanley_Marketing
2026-09-04 09:15:14
0
@ommy :
🔥🔥🔥
2026-09-04 10:36:17
0
paschal ₩@ kãțøřő 🇹🇿 🇹🇿 :
👍👍👍
2026-09-04 10:16:58
0
Saidi Irakoze :
😳😳😳
2026-09-04 10:19:07
0
Jackson Elisha :
😳😳😳
2026-09-04 10:46:22
0
To see more videos from user @stanley_marketing, please go to the Tikwm
homepage.