Sasa waziri wa mambo ya ndani wizara ya mawasiliano unafikaje wakati huko kunae waziri wa mawasiliano?
2026-09-04 12:09:32
1
masanja 22 :
msisahau na makato ya mda wamaongezi kuisha bila kukitumia ss
2026-09-04 10:24:30
4
Major Kiddie :
Hapo sawa Muheshimiwa rais
2026-09-04 10:45:37
4
kawizankinga911 :
wezi waziri ndo wafanyakazi wao
2026-09-04 10:35:08
2
Ja Rule :
Hiyo meza ina vinywaji vya gharama boss
2026-09-04 10:40:57
3
Captain_Scott :
watumishi wenyewe wanahusika kutuibia
2026-09-04 12:05:10
1
pascalambokile :
duu sikutegemea hili good job
2026-09-04 10:18:04
2
mduma :
usajili wa mitaani ukome kabisa kuwa na utaratibu mzuri watu wafike kwenye maduka yao mbona bank Wana mawakala mtaani ila hawasajili card za bank afu wanaokuja saivi wanasema ni buree wizi mtupu
2026-09-04 10:54:16
0
dokta_mitishamba :
hayo ndo mambo ya msingi sasa tunayotaka tanzania😂😅🤣
2026-09-04 10:42:59
1
ame :
kweli mkuu ttzo la wiki linaanzia na wafanya kazi wa mitaandao yote tanzania tena lichunguzeni kwa kina sana hili
2026-09-04 10:48:40
1
addy victor 🦋 :
Wanatwambia Bando la week elf3 alaf linaisha kwa masaa ma3🤣🤣🤣
2026-09-04 11:26:26
1
BABA ANNA² :
kwa malayakwanza👍👍👍
2026-09-04 10:11:20
4
FM. VITENGE :
apo ume cheza
2026-09-04 10:17:57
1
kingmarley377 :
hapo ni big up mkuu
2026-09-04 09:15:15
6
On Eagle Wings :
big up sana wazir
2026-09-04 13:48:05
0
Joy :
Safi
2026-09-04 14:20:49
0
london__dior :
Unakuta upo kwenye mchakato wa kutumiwa hela , wakati unasubiria hiyo pesa unashangaa unanza kutumiwa text za “kutuma pesa kwenye namba flani” ni nani aliyenasa haya maongezi?
2026-09-04 14:17:18
0
marera expedition :
Kuna namna wanawaaajiri watumishi wasiokuwa waaminifu unakuta wamiliki hawafahamu
2026-09-04 13:41:53
0
Engineer by Nature :
Wanatupiga sana mitandao
2026-09-04 10:32:41
0
To see more videos from user @seramedia_tz, please go to the Tikwm
homepage.