@lstbrn50: #lastborn #be like#🙌😂

L.A.S.T.B.O.R.N.BO.Y
L.A.S.T.B.O.R.N.BO.Y
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 04 September 2026 07:41:01 GMT
119708
6052
239
1295

Music

Download

Comments

lastborner83
💦lãstborn💦💦💨 :
😂😂😂😂 utasikia Ukimaliza kuliaa nenda kachume mboga na Ukasage na mahindii😂😂😂
2026-09-04 08:41:19
96
sarashao232
Sasha princess 😘 :
mimi huyoo najiona nibora nile wali mkavu kuliko ugalii
2026-09-04 12:59:58
27
fighterjr1
HANS :
🤣🤣🤣🤣🤣 𝘭𝘢𝘴𝘵 𝘣𝘰𝘳𝘯
2026-09-04 15:52:08
0
lovenessmosha2
love mosha :
alafu nilikua hata ndugu zangu wakimiss kula wali wananituma mimi nikalie kwa baba 🤣🤣🤣
2026-09-04 16:10:41
18
user7612246563755oneday
mysala💕🔐🩷 :
huyu ni mpenz Wang kabisaa 🤣🤣🤣
2026-09-04 08:57:57
29
sheymchaga65
lastborn🥰🥰🥰 :
🤣🤣🤣🤣🤣we mama pika me nasiizia kdogo😂😂😂
2026-09-04 16:05:13
0
auntyk717
Aunty@K :
huyo ndo maana ni last born boy 👦 girls hatuliii Bali tunazira na kwenda kulala😅
2026-09-04 11:44:51
16
w.cayoo
ℂ𝕒𝕣𝕖𝕖𝕟4️⃣5️⃣ :
Huyu ni bray wety kabisa akimaliza kulia anasema hali kashiba🤣😂😂😂😂😂
2026-09-04 10:02:13
15
agripina.asfel
Agripina💞asfel💞💞 :
ila ma last born ni jau
2026-09-04 12:31:11
4
imanichamwela529
iman john 🔥🔥🔥 :
nilikua siipendi hiyo kauli 🤣🤣🤣🤣
2026-09-04 14:35:14
6
user5258410544031
reen🦁 :
it's me
2026-09-04 17:46:25
1
officiallyoungmuzdy8
OFFICALL YOUNG MUZDY🔥🔥 :
Leo wakwanzaaa😂😂😂
2026-09-04 07:43:03
4
shuuwakudeka
🦋geen,shuu🦋 :
huyu Hana tofaut namume wangu😂
2026-09-04 15:49:18
2
miss.carin2
miss linah :
mi ninavo penda wali wee subutuu🤣🤣
2026-09-04 17:33:59
1
jivakxhxj8o
JivakaS :
Yaan huyo ni mimi kabisaaa🤣🤣 na nisivyopenda ugali hadi sasa nalia nikiona mke wang anapanga kuupika
2026-09-04 14:23:01
1
user504426186981
😛😛 :
n Mimi kbsa huyu 😂😂
2026-09-04 10:46:56
2
itsmaria.23
its-Marie🌸 :
Mie mama alikuwa akisema mtenge maharage Alafu jion arud kutoka sokoni akute yameungua hata kidg anasema et tunakula ugali siwez kupika wali na maharage yanayo nuka kuungua mchele wangu wekeni huko nilikuwa naumia mie 🥹🥹🥹🥹
2026-09-04 13:08:08
2
mama.cee400
Cathee👑🌹 :
nan mkorofi mdogo wangu mzuri nyamaza mom
2026-09-04 13:16:27
1
ayra_kyra
it's_ayra :
me
2026-09-04 08:39:55
1
kinamkasi
kinamkasi :
uzuri Nikiwa nalia nafanya kama naomboleza basi mama last born anasema tumbo la uzazi lamuuma hapo wuuuuuuuu😂napewa nachotaka😂😂
2026-09-04 11:24:06
1
user9840199045590
Anaya Mohamed :
Najua Tu nyie SIO wazazi wngu😭😭😭😂😂😂😂
2026-09-04 19:01:03
0
mrsalommy07
🦋Naah :
mbn me wali sipend na ni lastborn 🙁🙁
2026-09-04 19:06:15
0
To see more videos from user @lstbrn50, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About