@ngbfadventist: Sio mpango wa Mungu mwanadamu awe na mwenzi zaidi ya mmoja, madhara ya mwanadamu kutokuwa mwaminifu na kuwaka taama za kimwili imeleta matatizo katika familia nyingi za wakristo. Hebu na turejee tufuate na tushike amri za Mungu na tusihi sawasawa na mapenzi yake naye ataturehemu #makambikandayambulu2026 #nitakwendanikimsubiriyesu
ijapokuwa mm sio msabato lakini namuelesa sana uyu pastor
2026-09-05 11:39:08
38
Gthebosslady :
Pastor ni handsome
2026-09-06 21:18:33
5
MOMESA :
jamani mimi nikondoo iliyopotea kila nikiwaza kwenda kanisani jumamosi uvivu mwingi unakuja jmn naumia
2026-09-09 20:11:53
4
mathayo mtumishi :
Tuna anzia edeni kwa adamu na hawa kabla ya dhambi kuingia Bibilia ina semaMwanzo 1:27
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Mungu Hakuumba wake wawili Mpango waMungu ni tuwe.na mke moja nandomana aliumba mke mmoja
Mwanzo 2:24
[24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja
Biblia ina endelea kuonyesha kua Mwana umeata waacha wazazi naye ata ambatana na Mkewe siyo wakezake ni mkewe naye wata kua mwili mmoja kiufupi Biblia hakuna sehem inaonyesha kua na wake zaidi ya mmoja
2026-09-05 07:34:54
7
BENJA SHAYO :
Mm sio Msabato lakini wewe PASTOR nakuelewa Sanaa na ile DHAMBI ya UZINZI ITAACHA MACHOZI MACHONI PAKO, MABINTI WENGI WALIANGUKA KWENYE DHAMBI HII WAKAPATA WATOTO WAREMBO, WAZURI LAKIN MPAKA LEO wameshindwa Kuolewa na Machozi Yanaanguka Kwenye Macho Yao... Daah Nimepona katika haya Mahubiri😭😭😭
2026-09-15 17:00:22
2
kbl :
hayo sio maneno ya kutuambia sisi tuombee roho mtakatifu tu some neno lake na tulielewe Mungu hakai kwako peke yako anaweza kukuondolea akanipa mimi
2026-09-10 16:14:06
1
naomimsamba421 :
Ni kweli pasta ila waoaji we yewe hawapo
2026-09-05 16:58:08
0
Martine Mollel :
kwahiyo michepuko dili sio?
2026-09-05 17:36:42
1
neema :
hatimaye naanza kuelewa nskuijuwa biblia vizuri
2026-09-04 20:31:09
2
@nyasengi M :
MUNGU akubariki
pr Baraka🙏🏾🙏🏾
2026-09-06 11:18:59
3
VR4 Da Great :
somo hili limekua jipya kwangu kila nikilisikia kutoka kwako pr
2026-09-04 13:36:37
7
Neema Daniel :
Sema tupone Pr,,hii ni kweli kabisa yamenitokea mm ni ushuhuda tosha na ni kama umefungiwa mlango hvi hakuna mwanaume mwingine atakayekutongoza ni kama mbingu zinaona umeshaolewa,,Mungu aturehemu😭😭😭😭😭
2026-09-06 17:01:38
5
lovelevina🙏 :
sema Baba watu wa MUNGU tupone 🙏
2026-09-22 21:38:50
1
bethlizah :
Amen 🙏 be blessed
2026-09-04 13:09:14
1
gifts🥰 :
Amen
2026-09-04 19:50:35
1
Tedy :
Hii ni kweli na Hakika. Mungu akutunze Pastor
2026-09-07 09:53:11
2
user4335875638646 :
hii message ni yangu tunajifungia baraka tunabakiza majuto Mungu atusaidie
2026-09-15 08:15:31
1
mbena55 :
Mbn ume pin 📌 tunachukuaje sasa
2026-09-06 13:06:37
1
dogMsabatho :
barikiwa mno
2026-09-04 14:22:56
1
Emma Kitundu :
amen
2026-09-04 10:48:57
1
mtumishi :
amina
2026-09-27 06:36:34
0
TATA BM🦅🇹🇿(Newman) :
SASA NDIO UWASIMANGE WATEJA WAKO[Tears of joy]
2026-09-23 19:59:23
0
ndivince :
kweli
2026-09-24 21:57:06
0
Emmanuel lebison biseko :
ubarikiwe sana kwa somo zuri
2026-09-16 20:29:43
0
Najenjwa :
Amen
2026-09-04 08:25:48
0
To see more videos from user @ngbfadventist, please go to the Tikwm
homepage.